Ninunue ipi kati ya galaxy note 4 na galaxy tab s?

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
wataalam kati ya note4 na tab s 10.1 nimepata zote kwa sawa,hapa nipo njia panda je mnanishauri ninunue ipi
 
specs wise note 4 inaipita hio tab s. ingekuwa mimi ningechukua note 4 hasa kwa matumizi ya mkono mmoja.

pia kwa baadae note 4 itapata support kubwa na sitashangaa 2017 ikipata android 7 aka android N wakati hio tab ikibaki na software ya zamani
 
asante sana mtaalam chief mkwawa ngoja nichukue note4 kumbe itanifaa sana kuliko tab s
 
Sawa mkuu na mimi naongezea hapo kati ya Note 4 na galaxy Note edge ipi kiwango
 
Naomba mnisaidie kujua ubora na uzuri na utofauti wa Samsung Galaxy Note, Samsung S, Samsung tablets
Nisaidieni ipi ni nzuri apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…