moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,308
- 1,546
Tafuta Passo ya 2004-2005 bei 6.5M kuingiza hapa bongo barabarani
Nakuunga Mkono, ingawa anapaswa kununua passo ya engine capacity 1300cc kulingana na route yake. Siijui sana Passo, ila mbadala wake atafute suzuki swift au chevrolet cruze, haya magari ni mazuri na durable ingawa spare parts zake ni jiwe, ila akitunza vizuri will enjoy cruising.