Ninunue feni(fan) au A.C

Ninunue feni(fan) au A.C

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
120
Reaction score
226
Wakuu nina budget ya 150000, baada ya feni yangu niliyokuwa natumia kuharibika, nikapata idea ya mini A.C.
kuna baadhi ya A.C naona zinauzwa, yaani zile A.C ndogo za kusimama.

Naomba mtu yeyote anayeitumia aniambie kama kweli inafaa. je, inaweza kumudu hili joto la Dar, au ninunue tu feni kubwa ya 150K?

Nimepanga single room.
naomba mwenye uwelewa wake anisaidie
 
Nunua feni Tu mkuu, hapo hakuna AC ya kukufaa...vi portable AC havina kitu, vinaharibika mapema kuliko kawaida, kama ni AC Bora ujivute kidogo Hadi kwenye laki sita ununue 12BTHU, kigeto geto ndo utafurahi coz Kwa vyumba vidogo Tu vya kisela unapeta, unaweza usielewe ninachosema lakini Bora ununue feni for the long run.
 
sawa mkuu, maana kuna hii hapa chini, jamaa anauza 1
Hivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
zile za laki 8 ndo zinakula umeme
 
Attachments

  • 1766424611613.png
    1766424611613.png
    1.1 MB · Views: 10
Hivi ni kwamba Dar joto limezidi sana mpaka feni zinazidiwa nguvu? Feni yangu imezima ghafla haiwaki tena bila sababu na hili joto basi shughuli ipo
Hilo ni Tatizo la nchi nzima hasa Kipindi hiki, matumizi ni makubwa na transfoma zetu ni zile zile...ww Una feni Una afadhali kidogo linazima then linawaka, sasa mtu ana AC nyumba nzima na Hana feni hapo ndipo tunapofufua majenereta yetu.
 
Hivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
Ni kweli walikupanga mkuu.

Ac kwa matumizi ni kama freezer.

Kwa siku linachapa kuanzia unit2 hadi 3 likitetema mfululizo kutwa nzima.

Ukiliwasha, likapoza chumba ukalizima, laweza kutafuna unit 1 pekee.
 
Wakuu nina budget ya 150000, baada ya feni yangu niliyokuwa natumia kuharibika, nikapata idea ya mini A.C.
kuna baadhi ya A.C naona zinauzwa, yaani zile A.C ndogo za kusimama.

Naomba mtu yeyote anayeitumia aniambie kama kweli inafaa. je, inaweza kumudu hili joto la Dar, au ninunue tu feni kubwa ya 150K?

Nimepanga single room.
naomba mwenye uwelewa wake anisaidie
Mkuu nunua fan tu. Muda wa AC ukifika utanunua bila kuuliza hapa JF.
 
Mkuu kwahio unamshauri anunue AC kwa 2.6m aifunge kwenye chumba kimoja alichopanga?
ajabu kabisa yaani si bora hiyo million 2.6 akajenge vyumba viwili simple awe na kwake.! sema hao ndio wale wananunua iphone ya million 3 alafu bado anakaa kwa wazazi au kapanga kigheto chake uswahilini..mtoa mada ana bajeti 150,000 alafu eti analetewa pigo za million 2.6.! kwenye chumba kimoja cha kupanga.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom