Ninini hiki kinatokea duniani?

Status
Not open for further replies.
Pale tulipokubali tamaduni za kimagharibi, kuanzia style ya maisha, imani za kidini nk ndipo tulipoharibu.

Sasa hivi mwanaume kabisa anashikishwa ukuta na anatoa miguno, ooh gosh!
 
Nilitazama film moja ya Comedy inaitwa Jackass kwa kweli wazungu wanaupenda sana ushoga, Mungu atusaidie huku Africa ambapo hali bado haijachanganya
 
Naona hii wiki umejikita zaidi kwenye masuala ya kijamii has a suala la mahusiano na ndoa....
Yeah tulianza wiki na mambo ya dent, sijui CryptoTab, cryptocurency, brave nk
 
Pale tulipokubali tamaduni za kimagharibi, kuanzia style ya maisha, imani za kidini nk ndipo tulipoharibu.

Sasa hivi mwanaume kabisa anashikishwa ukuta na anatoa miguno, ooh gosh!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji848][emoji2]
 
Wanazidiwa nini?
 
hakika haya mambo wengi sana tumefumbwa macho na kuaminishwa visivyo sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…