Boflo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 4,383 Reaction score 4,413 Apr 15, 2012 #1 1-Jela 2-Kufa 3-Kubakwa 4-Talaka 5-Ugonjwa 6-Shetani 7-............ Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri....
1-Jela 2-Kufa 3-Kubakwa 4-Talaka 5-Ugonjwa 6-Shetani 7-............ Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri....
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Apr 15, 2012 #2 Ugonjwa
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,785 Apr 15, 2012 #3 Ugonjwa ni nomaa. "Sumu ya teja ukonga keko segereaaa,machizi wangu waliniambia ntoto wa mbonde kaenda karudi mnene eh,ukuta upo utashika bure ukurutu bureee vipeleee bureeee"---Maembe Bofloooooooooooooooooo!
Ugonjwa ni nomaa. "Sumu ya teja ukonga keko segereaaa,machizi wangu waliniambia ntoto wa mbonde kaenda karudi mnene eh,ukuta upo utashika bure ukurutu bureee vipeleee bureeee"---Maembe Bofloooooooooooooooooo!
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Apr 15, 2012 #4 1 . Ugonjwa ; Nitatibiwa 2 . Jela ; Nitafungwa na kutoka 3 . Talaka ; Nitaoa/Nitaolewa mwingine 4 . Kifo ; Hakina m'badala Hapa ndy mtihani
1 . Ugonjwa ; Nitatibiwa 2 . Jela ; Nitafungwa na kutoka 3 . Talaka ; Nitaoa/Nitaolewa mwingine 4 . Kifo ; Hakina m'badala Hapa ndy mtihani
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 15, 2012 #6 naogopa kuwa bof.o
S Spider man Member Joined Apr 15, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Apr 15, 2012 #7 Kuachwa na mpenz ninayempenda kwa dhati.
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Apr 15, 2012 #8 kufa na kugeuzwa
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,125 Reaction score 13,743 Apr 15, 2012 #9 Ugonjwa haswa usiotibika au wenye kuleta ulemavu wa maisha..
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Apr 15, 2012 #10 Jast Bleiz said: Ugonjwa haswa usiotibika au wenye kuleta ulemavu wa maisha.. Click to expand... Kiukweli ni bora hata mtu ufulie ila uwe mzima
Jast Bleiz said: Ugonjwa haswa usiotibika au wenye kuleta ulemavu wa maisha.. Click to expand... Kiukweli ni bora hata mtu ufulie ila uwe mzima
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 15, 2012 #11 Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani. Hapana kabisa.
Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani. Hapana kabisa.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,500 Apr 15, 2012 #12 Vyote noma.
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,125 Reaction score 13,743 Apr 15, 2012 #13 Kongosho said: Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani. Hapana kabisa. Click to expand... Duu!! Basi bora kutokua chakula..
Kongosho said: Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani. Hapana kabisa. Click to expand... Duu!! Basi bora kutokua chakula..
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Apr 15, 2012 #14 Kongosho said: Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani. Hapana kabisa. Click to expand... Chagua nyingine
Kongosho said: Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani. Hapana kabisa. Click to expand... Chagua nyingine
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 15, 2012 #15 Naogopa kuwa nyumba dar, hasa za wenyeji. Ukipita Kariakoo wale watu wooote usiku wanalala mahali fulani. Nyumba zingine zina watu hata 20. Bado za wenyeji nazo zinajaa sana hasa wakati wa kazi, hebu fikiria wee ndo nyumba afu uko pale kwa mtogole. Afu nyumba hata hazisafiri wala hazina likizo. Sitaki kuwa nyumba kabisa lol Erickb52 said: Chagua nyingine Click to expand...
Naogopa kuwa nyumba dar, hasa za wenyeji. Ukipita Kariakoo wale watu wooote usiku wanalala mahali fulani. Nyumba zingine zina watu hata 20. Bado za wenyeji nazo zinajaa sana hasa wakati wa kazi, hebu fikiria wee ndo nyumba afu uko pale kwa mtogole. Afu nyumba hata hazisafiri wala hazina likizo. Sitaki kuwa nyumba kabisa lol Erickb52 said: Chagua nyingine Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 15, 2012 #16 kama kuchagua kuwa nini, mie ningechagua kuwa Mawingu, raha unakula hewa safi na kutizama huku chini mnavyohangaika na foleni. Jast Bleiz said: Duu!! Basi bora kutokua chakula.. Click to expand...
kama kuchagua kuwa nini, mie ningechagua kuwa Mawingu, raha unakula hewa safi na kutizama huku chini mnavyohangaika na foleni. Jast Bleiz said: Duu!! Basi bora kutokua chakula.. Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 15, 2012 #17 Na hatari nyingine ni kuwa kitanda, unalaliwa daily afu na kushuhudia matukio halali na halifu.
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Apr 15, 2012 #18 ...naogopa vitu ambavyo hauwezi kurestore....kifo...kupoteza bikra...
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Apr 15, 2012 #19 Boflo said: 1-Jela 2-Kufa 3-Kubakwa 4-Talaka 5-Ugonjwa 6-Shetani 7-............ Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri.... Click to expand... mbona hujataja sababu mjomba?
Boflo said: 1-Jela 2-Kufa 3-Kubakwa 4-Talaka 5-Ugonjwa 6-Shetani 7-............ Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri.... Click to expand... mbona hujataja sababu mjomba?
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Apr 15, 2012 #20 BAGAH said: ...naogopa vitu ambavyo hauwezi kurestore....kifo...kupoteza bikra... Click to expand... kumbe wewe no she, your id sounds masculin. hiyo ya pili ushapoteza au bado?
BAGAH said: ...naogopa vitu ambavyo hauwezi kurestore....kifo...kupoteza bikra... Click to expand... kumbe wewe no she, your id sounds masculin. hiyo ya pili ushapoteza au bado?