Nini unajivunia siku ya leo?

Chaliangu acha bangi🤣

sasa nyumba moja room 2 na vits ni utajiri
juzi jioni nilikua zangu beach nakula mpepe mpaka giza limeingia nashangaa huu mwezi leo mbona siuelewi elewi nikahisi labda mpepe unaniletea mazingzong nikarudi zangu gheto asa nashangaa nakuta taarifa kwenye simu kumbe mwezi juzi ulipatwa 🤣🤣🤣🤣 me nikajua ni mpepe umenipoteza
 
Mmmh! Mambo yamenoga
Dokta jawad anajua sana kupenda
Faith anapendwa na kila mkaka, ndugu yangu Aaliyah yeye bahati ya kupendwa imepita kushoto.
Aisee series ishaanza kuwa tamu sana sema yule bidada aaliyaah nae mzuri aisee😎😎 ile mitoto ya kiarabu mizuri sana fei naona mwishoni ataolewa na dokta jawad
 
nilikuwa najiuliza mbona huyu memba anaonekana hamnazo kichwani kumbe ni bonge😎😎😎

mabonge hamjawahi kumiliki akili
 
Aisee series ishaanza kuwa tamu sana sema yule bidada aaliyaah nae mzuri aisee😎😎 ile mitoto ya kiarabu mizuri sana fei naona mwishoni ataolewa na dokta jawad
Yeah! Wazuri sanaa hata wakaka wao ni mahandsome, sema Faith ana kishepu flani hivi amaizing
Mimi mule Tameer ndiye anaondoka na moyo wangu.
 
Hivi kawaida binadamu anatakiwa kua na uzito gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…