๐๐๐๐๐Chaliangu acha bangi๐คฃ
sasa nyumba moja room 2 na vits ni utajiri
Inapendeza sana!Najivunia kumuona Live Nassoro Katuga na Vilaza wenzake.
Sawa, endelea kusonga mbele utafika tu pale unapopataka!Bado sijahisi kujivunia
๐๐Mi sijivunii,navuniwa
Tajiri huna baya kabisa ๐Najivunia utajiri nilionao huku kigamboni ๐โ๏ธ
Mpewa hapokonyeki,mtu sio Nyau,Najivunia utajiri nilionao huku kigamboni ๐โ๏ธ
Najivunia kukumbukwa na ww leo๐miana amor mambo
Najivunia kukumbukwa na ww leo
Inapendeza sana mkuu, nakutakia kila la kheri uendelee kuwa na afya njema!Najivunia kwa uhai na kwa na afya njema,
Foundation of well being,good health enables individuals to engage fully in life,pursue goals and enjoy activities,
health influences the quality of life.
Akina nani hao wanajivunia wewe?Mi sijivunii,navuniwa
Na kwako pia,na wana JF wote.Inapendeza sana mkuu, nakutakia kila la kheri uendelee kuwa na afya njema!
Wamatumbi sema wewe ni mgonjwa , hauna hata pesa ya kula ni mlevi wa kutupwa ,unahitaji msaada , utasikia Mungu atakusaidia ipo siku utafanikiwa .๐ฎ๐ฎNajivunia utajiri nilionao huku kigamboni ๐โ๏ธ
Kabisa kaka๐Mpewa hapokonyeki,mtu sio Nyau,
asubuhi tarehe moja,jioni mwisho wa mwezi,
Wasomi Hiiiii,
Kwa sauti ya Doto Magari.
๐๐๐๐ Aisee umenikumbusha Kuna bidada nilimyima pesa ya kuweka wese kwenye gari yake mpaka Leo Kila nyuzi akinikuta analeta fujoWamatumbi sema wewe ni mgonjwa , hauna hata pesa ya kula ni mlevi wa kutupwa ,unahitaji msaada , utasikia Mungu atakusaidia ipo siku utafanikiwa .๐ฎ๐ฎ
Ila ukisema wewe ni tajiri wa kigamboni watatoka mapovu na chuki za kufa mtu bwashee.