Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,646
Asante Mangi, wewe unajivunia nini leo?Kongole kwako
Asante, ila umeuonea wapi na nimeuficha ๐Mshangazi unamguu mzurii
Mpwa wewe huna unachojivunia?Bora yenu mnajivunia
Bado sijahisi kujivuniaAsante Mangi, wewe unajivunia nini leo?
Hongera na pole, mimi nilipambana kupunguza traco mpk nimefanikiwa lakini ajabu shemejio anachukia ๐น๐น๐น
Safi sana...Najivunia utajiri nilionao huku kigamboni ๐โ๏ธ
Hata huyu wangu hapendi ila anakubali kishingo upande, nimemuambia kama anataka niwe namkalia juu dakika 20 lazima nipungue ๐๐Hongera na pole, mimi nilipambana kupunguza traco mpk nimefanikiwa lakini ajabu shemejio anachukia ๐น๐น๐น
Kwanini hutaki kuwa na mkia mrefu mamie ๐?Kiukweli sipendi kuwa na furushi, napenda niwe portable nilikuwa vegetarian na nashinda gym asubuhi na jioni..!!
Mimi mazoezi nayastahimili ila kwenye chakula, masharti ya kupunguza vyakula vya wanga ndiyo yaliniendesha ๐ฎโ๐จ๐ซKuna siku trainer alinipa mazoezi mpaka tukazinguana kabisaa..!!
So huo mziki naupata vyedi.
Chaliangu acha bangi๐คฃNajivunia utajiri nilionao huku kigamboni ๐โ๏ธ
Shukrani sana kakaSafi sana...