Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,571
- 30,829
Ni sawa mkuu, lakini ukiona mwezio aliyenyolewa bila makali, kama nchi za Afrika Magharibi, jiweke vizuri na wembe wako mwenyewe!ni katika kuendeleza diplomasia ya kiuchumi, kisiasa, sayansi, technologia na kijamii na mataifa mbalimbali duniani, regardless ya Taifa hilo kwa wakati huo 🐒
by the way,
technically, hiyo ni fursa kubwa sana kwa Tanzanian kibiashara coz biashara na uwekezaji mwingi wa Ufaransa unaweza kuhamishiwa Tz, tukapata ajira na kwa vijana, kukuza uchumi n.k🐒
puppets wa magharibi waliopo Tz anajulikana vizuri sana na hawez fanya chochote, sembuse mapuppets from France ambao ni nyanya sana 🐒
Kaenda kubadili mbogaRais Samia huyoo?
Sasa hivi kaenda Ufaransa!
Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri.
Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa.
Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa ukoloni mamboleo wa dola la kifaransa.
Uchumi wa nchi hizo ulidhibitiwa na ufaransa kiasi kwamba walikuwa wakinyonywa mchana kweupe.
Sasa wamewafukuza physically wafaransa wote toka nchini mwao.
Katika mazingira hayo lazima tujiulize, Mama Samia anafuata nini huko Ufaransa, na atatendewa nini tofauti na nchi za Afrika Magharibi?
Tunayo Uranium ambayo Macron amenyang’anywa na Putin huko West Africa !Rais Samia huyoo?
Sasa hivi kaenda Ufaransa!
Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri.
Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa.
Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa ukoloni mamboleo wa dola la kifaransa.
Uchumi wa nchi hizo ulidhibitiwa na ufaransa kiasi kwamba walikuwa wakinyonywa mchana kweupe.
Sasa wamewafukuza physically wafaransa wote toka nchini mwao.
Katika mazingira hayo lazima tujiulize, Mama Samia anafuata nini huko Ufaransa, na atatendewa nini tofauti na nchi za Afrika Magharibi?
Yote ni maisha tu !Shopping Dubai, bata Paris ..
Kati ya mataifa nisiyoyaamini katika uhusiano wa kimataifa ni Ufaransa.Tunayo Uranium ambayo Macron amenyang’anywa na Putin huko West Africa !
Labda Macron anataka kubadili gia angani !
Ngoja tusubiri tuone labda Neema inakuja ! 🙏
Hao wana tabia za Ufitini !Kati ya mataifa nisiyoyaamini katika uhusiano wa kimataifa ni Ufaransa.
Huuo papets anavaa ma culture cultureni katika kuendeleza diplomasia ya kiuchumi, kisiasa, sayansi, technologia na kijamii na mataifa mbalimbali duniani, regardless ya Taifa hilo liko kwenye status gani kwa wakati huo 🐒
by the way,
technically, hiyo ni fursa kubwa sana kwa Tanzanian kibiashara coz biashara na uwekezaji mwingi wa Ufaransa katika nchi ulizozitaja, unaweza kuhamishiwa Tz, tukapata ajira kwa vijana, kukuza uchumi n.k🐒
puppets wa magharibi waliopo Tz anajulikana vizuri sana na hawez fanya chochote, sembuse mapuppets from France ambao ni nyanya sana 🐒
Asipofanikiwa je?Hii ziara ina manufaa mengi sana kwetu kama Taifa, Mama anatumia hiyo nafasi ya Mwenyekiti mwenza kushawishi masuala fulani ambayo yalishakwama wakati wa mwendazake, kama akifanikiwa tutapata fedha nyingi ikiwemo bandari yetu ya Tanga kuamka upya.
Kwa uchache ni hayo, kama akifanikiwa naweza kueleza kiundani.
Mataifa gani ambayo unayaamini ukitoa hayo ambayo huyaamini?Kati ya mataifa nisiyoyaamini katika uhusiano wa kimataifa ni Ufaransa.
Hilo sio jambo la dhihaka, kiongozi anapojaribu kufanya jambo lenye maslahi kwa taifa ni jambo jema.Asipofanikiwa je?
Wazalendo wakipatikana wanapigwa vita vya wazi na vya chini kwa chini ili wapotee ulingoni !!tunahitaji uzalendo, tunahitaji watu wazalendo wa maneno na vitendo angalau wa kutetea maslahi ya taifa na kukemea matumizi yasiyofaa ya fedha za serikali kwa maana ya matumizi yasiyozingatia vipaumbele vya taifa.