Bunduki bunduki tu ukubwa na udogo mbwembwe tu. Cha msingi matumizi yako. Mtegemee Mungu upate mke mwema. Yeye ataridhika na ulichonacho.
Jamani mimi mwenzenu napata shida saana kwani bunduki yangu ndogo sina uhakika kama itamtosheleza mwenza wangu.
Nashindwa kushiriki tendo kwa kuhofia kumboa.
Naombeni ushauri wenu.
6" ni kama 15cm, wanasema hio ni average size. Kuna wenye less na wapo wenye size kubwa..Weka vipimo vyake, ina inch ngapi tuone kama ni kweli au unajishutukia. Bunduki iliyodhibitishwa kuingia vitani inabidi iwe ni kuanzia 6" na kuendelea, pia iwe inaweza kuhifadhi risasi za kutosha.
very smallHahaha pole mtu mzima, kama kweli upo serious humu ndio watakuvunja moyo kabisa. Jipime tu hapo, labda sio mbaya kivile.
![]()
![]()
Weka vipimo vyake, ina inch ngapi tuone kama ni kweli au unajishutukia. Bunduki iliyodhibitishwa kuingia vitani inabidi iwe ni kuanzia 6" na kuendelea, pia iwe inaweza kuhifadhi risasi za kutosha.
Ni tamu sana yaani taamuu....pole sana hiko kibunduki chako cha kutishia watoto kifiche!!ni aibu hata kuonyesha mtu
Mwanaume bunduki bwana tena iwe nzito halafu ya motooo.....