Nini ukweli juu ya kuenea kwa Ukimwi?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Nimesoma Vitabu Ving Lakin Bado Nashindwa Kuelewa!!
Ukimwi Unasambaa Kwa Damu! Hapa Naongelea Michubuko! Au Kwa MajiMaji Yaliyopo Sehemu Za Sir (Mucus)!
Kama Kwa Damu Ina maana Wote Waliopata Ngoma Walipigana Kiki Mpaka Wakachubuana?!!!!
Na Kama Kwa MajiMaji! Nin Umuhimu Wa Kutumia Condoms! Ikiwa Kama Yale Maji Ya Uken Huwa Yana Churuzika Mpak Kweny korodani!??
Tafadhar Naomba Kuelimishwa! Usijibu Kwa Kukurupuka!
 
Kwakweli ngozi ni protection kubwa sana tuliyojaliwa kutukinga na maradhi, hata hivyo ukimwi unaweza kupenye kwenye njia zilizo wazi za mwili na kuingila kwenye damu. Virusi vinasafiri kwenye damu, kama na body excretion nyingine. Kuna uwezekano mkubwa wa kupata virusi through unprotected sex iwe through vaginal or anal.
Maambukizi yanazidi kwasababu watu hawapimi mapema, kama ukianza kutumia dawa uwezekano wa kumwambukiza mtu mwingine ni mdogo. Pia watu sio wa kweli, ethically, inatakiwa ukishajijua unangoma usikubali kufanya unprotected sex unless umemwambia mwenzako na amekubali. Lakini sio wengi wakweli.
 
Sky Eclat Thnx ila bado Sijaridhika concept yako ya skin as a excretory organ ni kwel sikatai! Ila nijibu je yale maji yana virus hayan?
 
Mi navyofahamu virusi Vya ukimwi hushambulia zaidi kinga ya mwili au white blood cells ...kwahyo kokote kwenye cell nyeupe za damu tegemea uwepo wa virusi Vya damu....
Kutokana na preamble hapo juu its obvious kwamba viruasi Vya ukimwi vitapatikana kwenye majimaji yanayozilinda mbegu za kiume au semen...na hata kwenye majimaji ya uke kwani maji maji hayo humkinga mwanamke asipate maambukizi au kwa lugha ingine yanacell hai za kuulinda mwili...kwenye damu pia lazima kuwe na vurusi kwani damu ni muunganiko wa cell nyekundu, nyeupe n.k....
Mtu anapokuwa na michubuko kwenye sehemu za siri ni rahisi kupata maambukizi kutokana na sababu nilizozitaja na siyo lazima kuwepo na damu....
Kwani majimaji yanayitoka sehemu za siri yana cell kinga za mwili ambazo zinaweza kuwa zimeambatana na virusi....
Kutokana na hlo kama humuamini mtu wako ni vyema kupunguza madoido ambayo yanaweza sababusha michubuko kama kusuck naniliu....au kuzisugua sugua sehemu za siri n.k
Kutokana na hilo ndiyo maana kunaugunduzi wa condom mpya ambazo mtu anavaa kama boxer ili kuweza kupunguza chances za maambukizi
Iwapo mtu Mwenye AIDs atafikia critical level kunauwezekano pia wa virusi kupatikana ata kwenye mate, jasho na hata kwenye machozi pia...so umakini ndo HABARI ya mjini
 
There's nothing called "HIV" na hata AIDS yenyewe huwapata watu wengi kwa muda fulani tu na kuondoka wengine hudumu na AIDS hadi wanakufa...yote yote mi kuch kuch siachi tena nyama kwa nyama unless nimeforesee Risk kubwa
 
Mr. MTUI Thanx Kwa Maji Mazuri!! Ila Ningependa Kujua! Je Wote Wanaopata Ukimwi Walikumbana Na Michubuko? Pili Kama Virus Vipo Kwenye Majimaji Pia! Inakuaje mtu Anaish na mpenz mweny HIV na Hapat Ngoma wakat Hawatumii Condom!? Na hata Wakitumia Yale Majimaj kutoka Kwa Mwanamke Yanatoka Na Kuchurudhika Kweny korodan!! Inakuaje hapa
 
mzama chumvini.

For years, we've been told that the human immunodeficiency virus (HIV) can be transmitted by blood, genital secretions and breast milk. What hasn't been quite so well publicized are the bodily fluids that cannot transmit HIV, such as sweat, tears, saliva and urine. This article hopes to clarify when there is and is not a risk of transmission by explaining why HIV is carried by some bodily fluids but not others.

The short answer is that HIV can only infect cells with a specific receptor called CD4 on the surface. When the virus interacts with the CD4 receptor on the targeted cell, it is almost like fitting a key into a lock to open a door. The virus must go through the CD4-protected door to enter and infect the cell. CD4 receptors are present on immune cells including T cells, some of which circulate in the blood as part of our immune system. These circulating cells with the CD4 receptor on the surface are called "CD4 cells." CD4 cells are also present in semen, vaginal secretions and breast milk, where they serve to offer immune protection against invading germs, and in breast milk where they provide the infant with immune protection. Therefore, HIV can be transmitted by blood, genital secretions and breast milk. Bodily fluids associated with waste, like urine, feces, sweat and tears don't have CD4 cells. Neither does saliva. These bodily fluids can't transmit HIV.

HIV production factories
HIV infects CD4 cells in order to replicate itself because it doesn't have the ability to do so on its own. Once HIV has entered a CD4 cell (its new home) it highjacks the cell’s internal machinery and turns it into an HIV-producing factory. The newly made virus particles are released from the cell and go on to infect more CD4 cells and the infection continues to grow (unless antiretrovirals are started). Within the CD4 cells found in blood, genital secretions and breast milk, HIV can create millions of copies of itself.

HIV transport system
Free-floating copies of the virus are released from infected CD4 cells and can also be found in blood, genital secretions and breast milk. The free-floating virus is responsible for infecting other CD4 cells in the infected person and for transmitting the virus to other people; cells themselves can't be transmitted.
Transmission occurs when free-floating HIV hitches a ride in the blood, semen, vaginal secretions or breast milk of an infected person and is carried to a new person. Infection is established when the transmitted virus manages to find and enter a CD4 cell within the new “host”.

The measure of free-floating virus in the blood is known as the plasma viral load; plasma is the liquid component of blood. When the virus is able to make millions of copies of itself, uninterrupted by anti-HIV medications, the amount of free-flowing virus is large and the viral load is said to be high. Studies have shown that a high viral load increases the risk of transmitting HIV.
Less HIV = lower risk of transmission
The amount of free-floating HIV found in semen, vaginal secretions and breast milk can be measured to determine viral load, just like in the blood. These “compartments” appear to be independent of each other; for instance, even if the plasma viral load is low, the seminal viral load might be high, and unprotected sex would pose a high risk of transmission.

The purpose of antiretroviral therapy is to keep the viral load down in all bodily fluids where HIV can replicate, and the risk of transmission appears to be lower when viral loads are undetectable.

Fluids that don't carry HIV
Even in untreated people with HIV, only tiny amounts of free-floating HIV are found in urine, saliva and tear samples — not enough to cause infection. This is because HIV doesn't make copies of itself in these fluids and the “viral load” remains very small. There have been no documented studies finding HIV in the sweat of an infected person.
In summary, HIV can be found in a number of bodily fluids, but not all bodily fluids can transmit the virus. Preventing transmission requires taking precautions to minimize contact between bodily fluids that can transmit HIV — namely blood, semen, vaginal secretions and breast milk. Plus, if other body fluids, such as saliva, are mixed with a visible amount of blood, they can also pose a risk.
 
Mr. MTUI Thanx Kwa Maji Mazuri!! Ila Ningependa Kujua! Je Wote Wanaopata Ukimwi Walikumbana Na Michubuko? Pili Kama Virus Vipo Kwenye Majimaji Pia! Inakuaje mtu Anaish na mpenz mweny HIV na Hapat Ngoma wakat Hawatumii Condom!? Na hata Wakitumia Yale Majimaj kutoka Kwa Mwanamke Yanatoka Na Kuchurudhika Kweny korodan!! Inakuaje hapa
Yah anayeambukizwa lazima awe na mchubuko na kumbuka sehemu za siri ni laini sana so kupata mchubuko ni rahisi sana hasa wakati wa kunyonyana au kusugua sugua coz wengine nyasi zao ni ngumu sana....na wala siyo lazima uone damu Zinavuja....
 
Kwakweli ngozi ni protection kubwa sana tuliyojaliwa kutukinga na maradhi, hata hivyo ukimwi unaweza kupenye kwenye njia zilizo wazi za mwili na kuingila kwenye damu. Virusi vinasafiri kwenye damu, kama na body excretion nyingine. Kuna uwezekano mkubwa wa kupata virusi through unprotected sex iwe through vaginal or anal.
Maambukizi yanazidi kwasababu watu hawapimi mapema, kama ukianza kutumia dawa uwezekano wa kumwambukiza mtu mwingine ni mdogo. Pia watu sio wa kweli, ethically, inatakiwa ukishajijua unangoma usikubali kufanya unprotected sex unless umemwambia mwenzako na amekubali. Lakini sio wengi wakweli.

Hapo red na brown ndipo mnapojichanganya.
Udhaifu wa Kinga MWIlini hauambizwi .


Hapo kijani ukimwi dawa yake ni lishe bora, maji safi yakunywa, hewa safi.
 
Kugegedana mpaka maji ukeni yanaisha na kusababisha mchubuko, ishu ndo huanzia hapo.
 
Back
Top Bottom