Full charge JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,712 Reaction score 1,661 Mar 12, 2021 #1 Kulala njaa-kulala na njaa Gari yangu-gari langu Kuchukua fursa-kutumia fursa Ruhusa-ruksa Marehemu-hayati Majonzi-machozi Kupika mchele-kupika ubwabwa - Unaruhusiwa kuongeza orodha. Asante
Kulala njaa-kulala na njaa Gari yangu-gari langu Kuchukua fursa-kutumia fursa Ruhusa-ruksa Marehemu-hayati Majonzi-machozi Kupika mchele-kupika ubwabwa - Unaruhusiwa kuongeza orodha. Asante
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,388 Mar 12, 2021 #2 Kulala njaa Gari langu --- magari yangu (Li/Ya) Ruhusa = ruksa Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu majonzi = huzuni; machozi = tears Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi π )
Kulala njaa Gari langu --- magari yangu (Li/Ya) Ruhusa = ruksa Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu majonzi = huzuni; machozi = tears Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi π )
Full charge JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,712 Reaction score 1,661 Mar 12, 2021 Thread starter #3 Jasmoni Tegga said: Kulala njaa Gari langu --- magari yangu (Li/Ya) Ruhusa = ruksa Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu majonzi = huzuni; machozi = tears Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi π ) Click to expand... Asante mkuu. bado nategemea mawazo yenu
Jasmoni Tegga said: Kulala njaa Gari langu --- magari yangu (Li/Ya) Ruhusa = ruksa Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu majonzi = huzuni; machozi = tears Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi π ) Click to expand... Asante mkuu. bado nategemea mawazo yenu
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,388 Mar 12, 2021 #4 mnyamamkalisana said: Axant mkuu bado nategemea mawazo yen Click to expand... π π π
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,415 Mar 12, 2021 #5 Kijana wangu-kijana yangu Binti yangu-binti wangu Mi naomba kujua kuhusu hapa... ni Kijana wangu>???<mzee wangu?? Au Kijana wangu><binti wangu??
Kijana wangu-kijana yangu Binti yangu-binti wangu Mi naomba kujua kuhusu hapa... ni Kijana wangu>???<mzee wangu?? Au Kijana wangu><binti wangu??