Nini tofauti ya SWITCH ON na JIRUSHE za Airtel internet?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
726
Salaam wakuu!
Nimekuwa mtumoaji wa airtel internet kwa muda mrefu ambapo natumia huduma ya jirushe tarrif ambapo huwa napata muda wa maongezi na MB /GB za wiki kwa au mwezi kwa smartphone yangu.
Sasa kuna hii huduma ya SWITCH ON ambayo inatangazwa je kuna faida ipi au ni tofauti ipi ya matumizi kati ya huduma hizi mbili? na ni ipi nzuri kati ya huduma hizi mbili?
 
Back
Top Bottom