Nini tofauti ya Nape na Tabwe Hiza?

Nini tofauti ya Nape na Tabwe Hiza?

lakani inawezekana vyeo vya ccm vinaharibu akiri za watu, namkumbuka mzee Kinana wakati wa kampeni alikuwa anaongea mbovu tupu. nape kabla ya kuwa katibu mwenezi alikuwa timamu, baada hicho cheo amekuwa mwingine kabisa na kadri siku zinavyoenda sitashangaa kusikia kafunguliwa fail pale milembe.
 
Msaaaaada tafadhari.

nimekuwa nikimsikiliza nape kwa makini , sijahi kubahatika kumuelewa , na pia shida hiyo hiyo nayopata kwa nape , pia nilikuwa naipata kwa Tabwe hiza . sasa naomba msaada hivi hawa jamaa wanatofauti yoyote ya utendaji, uropokaji. uwezo wa kufikiri na pengine hata ki elimu?
. nitafurahi ikiwa nitaelezwa .

Wasalaam
Tabwe amefariki R.I.P.
Nape anaishi tu
 
Msaaaaada tafadhari.

nimekuwa nikimsikiliza nape kwa makini , sijahi kubahatika kumuelewa , na pia shida hiyo hiyo nayopata kwa nape , pia nilikuwa naipata kwa Tabwe hiza . sasa naomba msaada hivi hawa jamaa wanatofauti yoyote ya utendaji, uropokaji. uwezo wa kufikiri na pengine hata ki elimu?
. nitafurahi ikiwa nitaelezwa .

Wasalaam
Tofauti ni kuwa tabwe amefariki nape yuu hai
 
  1. nape mnafiki tambwe mjinga
  2. nape ana bachelor tambwe ana cheti
  3. nape vuvuzela tambwe kasuku
  4. nape ana sera feki tambwe mbabaishaji
  5. nape mamluki wa ccm tamwe kibaraka wa cuf
  6. nape ni mdau wa ccj tambwe mdau cuf.
  7. yote 9 lakini ukimsikiliza nape unaweza ukatapika km una akili timamu coz ana ushamba flani lkn tambwe aah ana kanafuu kwa mbali km wasira
Umenifurahisha.
Ila kwa sasa tofauti yao ni kwamba Tambwe (RIP) amefariki na Nape ni mzima wa afya.
 
Back
Top Bottom