Nini tofauti ya hizi kozi pale UDSM?

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
1. Masters of Education Management and Administration (MEMA)

2. Masters of Arts in Education.

Naomba anayezifahamu vizuri hizi kozi anisadie. Ipi ni kozi bora zaidi kati ya hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wajinga tu au taifa la watu wajinga tu linaloweza kubeza nafasi ya mwalimu katika jamii.

Hivi Kama nchi isingekuwa na walimu Nani angefundisha vijana wa taifa hili.

Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani ambayo watu wake hawasomi?

Leo nimeamini kuwa taifa hili limejaa watu wajinga na wapuuzi wengi Sana. Mtu mwenye akili hawezi kupuuza walimu.
hivi kuna watu huwa kabisa mnakaa mnawaza kusomea ualimu,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wajinga tu au taifa la watu wajinga tu linaloweza kubeza nafasi ya mwalimu katika jamii.

Hivi Kama nchi isingekuwa na walimu Nani angefundisha vijana wa taifa hili.

Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani ambayo watu wake hawasomi?

Leo nimeamini kuwa taifa hili limejaa watu wajinga na wapuuzi wengi Sana. Mtu mwenye akili hawezi kupuuza walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mwalimu..kila la heri.
 
Msamehe bure tu. Hizo herufi zenyewe alizotumia kuandika hicho alichoandika ni kazi ya mwalimu.
Ni watu wajinga tu au taifa la watu wajinga tu linaloweza kubeza nafasi ya mwalimu katika jamii.

Hivi Kama nchi isingekuwa na walimu Nani angefundisha vijana wa taifa hili.

Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani ambayo watu wake hawasomi?

Leo nimeamini kuwa taifa hili limejaa watu wajinga na wapuuzi wengi Sana. Mtu mwenye akili hawezi kupuuza walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Masters of Education Management and Administration (MEMA)

2. Masters of Arts in Education.

Naomba anayezifahamu vizuri hizi kozi anisadie. Ipi ni kozi bora zaidi kati ya hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui ipi ni bora katika hizo, lakini cha kufanya kwanza ni kupitia Postgraduate Prospectus ya UDSM (download kwenye website yao), halafu angalia kwa umakini course contents zao uone ipi ina vile unavyotaka. Then unaweza kuamua au kuulizia zaidi.
 
Back
Top Bottom