Na PTYwakuu naomba msaada wenu kwenye ili mana mimi huwa yananichanganya sana nimejaribu ku google lakini uelewa finyu wa lugha na ukosefu wa ueledi
umeniacha na sintofahamu.
PTY maana yake ni nini?PLC ni kifupisho cha PUBLIC LIMITED COMPANY Ni kampuni ambayo hisa zake zinauzwa kwenye soko la Hisa na mtu yeyote ana haki ya kununua hisa kwenye soko hilo kutokana na uwezo wake. Kampuni ipo kiumma zaidi na ipo wazi zaidi kwenye mambo ya kifedha ili wawekezaji waweze kutambua thamani halisi ya hisa zake. Mfano wa kampuni hii ni CRDB.
Limited Comoany (LTD) yenyewe hisa zake hazipo kwenye Soko la Hisa mfano Soko la Hisa la Dar es Salaam na siyo mtu yeyote anaweza kununua hisa hizo. Kampuni hizi pia,hisa zake hugawanywa kwa kiasi wanachokubaliana wale wenye kampuni. Watu wengi huzipendelea kampuni za Limited kwa sababu pale kampuni inaposhindwa kufanya kazi,mwenye hisa deni halimuangukii. Mfano wa aina hii ni TIL
Pty ni kama Ky tu.PTY maana yake ni nini?
PTY maana yake ni nini?
thanks atleast nimepata mwanga flani mkuuPLC ni kifupisho cha PUBLIC LIMITED COMPANY Ni kampuni ambayo hisa zake zinauzwa kwenye soko la Hisa na mtu yeyote ana haki ya kununua hisa kwenye soko hilo kutokana na uwezo wake. Kampuni ipo kiumma zaidi na ipo wazi zaidi kwenye mambo ya kifedha ili wawekezaji waweze kutambua thamani halisi ya hisa zake. Mfano wa kampuni hii ni CRDB.
Limited Comoany (LTD) yenyewe hisa zake hazipo kwenye Soko la Hisa mfano Soko la Hisa la Dar es Salaam na siyo mtu yeyote anaweza kununua hisa hizo. Kampuni hizi pia,hisa zake hugawanywa kwa kiasi wanachokubaliana wale wenye kampuni. Watu wengi huzipendelea kampuni za Limited kwa sababu pale kampuni inaposhindwa kufanya kazi,mwenye hisa deni halimuangukii. Mfano wa aina hii ni TIL
PTY ni kifupisho cha Proprietary Company. Haina tofauti na Private Limited Company. Zina muundo na uelekeo sawa kabisa. Ni majina tu yanatofautiana.PTY maana yake ni nini?
He was aking on the issue relating to companies.Pty or PTY can mean several things:
Chanzo: Pty - Wikipedia
- Proprietary company, a business structure under Australian and South African law
- Tocumen International Airport (IATA Airport code), Panama
- Pseudo terminal, a class of virtual devices emulating terminals in computer operating systems
- Programme Type, in Radio Data System