Nini tofauti kati ya Plc company na Ltd company?

kankara

Member
Jul 19, 2014
25
45
Wakuu,

Naomba msaada wenu kwenye hili,

Maana mimi huwa yananichanganya sana nimejaribu ku google lakini uelewa finyu wa lugha na ukosefu wa ueledi, umeniacha na sintofahamu.
 
federicofernandez

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
580
500
A PLC, or public limited company, trades shares publicly on the stock exchange while an LTD, or limited company, trades shares privately. Both have set rules for the buying and selling of shares.
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,958
2,000
PLC ni kifupisho cha PUBLIC LIMITED COMPANY Ni kampuni ambayo hisa zake zinauzwa kwenye soko la Hisa na mtu yeyote ana haki ya kununua hisa kwenye soko hilo kutokana na uwezo wake. Kampuni ipo kiumma zaidi na ipo wazi zaidi kwenye mambo ya kifedha ili wawekezaji waweze kutambua thamani halisi ya hisa zake. Mfano wa kampuni hii ni CRDB.

Private Limited Comoany (LTD) yenyewe hisa zake hazipo kwenye Soko la Hisa mfano Soko la Hisa la Dar es Salaam na siyo mtu yeyote anaweza kununua hisa hizo. Kampuni hizi pia,hisa zake hugawanywa kwa kiasi wanachokubaliana wale wenye kampuni. Watu wengi huzipendelea kampuni za Limited kwa sababu pale kampuni inaposhindwa kufanya kazi,mwenye hisa deni halimuangukii. Mfano wa aina hii ni TIL
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,424
2,000
PLC ni kifupisho cha PUBLIC LIMITED COMPANY Ni kampuni ambayo hisa zake zinauzwa kwenye soko la Hisa na mtu yeyote ana haki ya kununua hisa kwenye soko hilo kutokana na uwezo wake. Kampuni ipo kiumma zaidi na ipo wazi zaidi kwenye mambo ya kifedha ili wawekezaji waweze kutambua thamani halisi ya hisa zake. Mfano wa kampuni hii ni CRDB.

Limited Comoany (LTD) yenyewe hisa zake hazipo kwenye Soko la Hisa mfano Soko la Hisa la Dar es Salaam na siyo mtu yeyote anaweza kununua hisa hizo. Kampuni hizi pia,hisa zake hugawanywa kwa kiasi wanachokubaliana wale wenye kampuni. Watu wengi huzipendelea kampuni za Limited kwa sababu pale kampuni inaposhindwa kufanya kazi,mwenye hisa deni halimuangukii. Mfano wa aina hii ni TIL
PTY maana yake ni nini?
 
thanks atleast nimepata mwanga flani mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom