aai ndo waliochuuka Ikulu Libya, Misri, Uganda enzi hizo mseven ni muasi, Kagame na sas Syria.. Ila wakishatwaa ikulu hwa hawatwiwaasiwankuwa Watawala. na kuitwa His Excelence ......Ukitumia lunga ya kivita mkoba ni askari mtiifu na ulimboka ni askari muasi, hapo kwenye neno askari waweza pia tumia neno afisa..vita ya kudai haki.
Mtu yeyote anayetumia magazeti kuingia ikulu, akishaingia atatumia bunduki kuhakikisha anabaki huko ikulu (Sumaye, 2005).
kwa kauli hii, Mabwepande panatisha kaka, hata kama ingekuwa wewe ungetii amri tu, labda uwe na moyo kama wa mwendawazimu vile.