Nini Tofauti kati ya Laptop na Netbook kimatumizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Tofauti kati ya Laptop na Netbook kimatumizi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rutunga M, May 25, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Wakubwa naomba kujua kuna tofauti gani kati ya Net book na Laptop kwa matumizi yake

  Asante
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  LAPTOP ni jina MAMA.

  Ndani ya LAPTOP kuna NETBOOK na NOTEBOOK......

  NETBOOK ni computer ndogo ambazo nafikiri zikienda saana zinakuwa na nchi 12 ambazo ni kama nusu ya Notebook. Wameweka kila kitu nusu ya Notebook kuanzia Processor, RAM, Graphic Card nk nk

  Netbook hazina tofauti na PAD ila sema PAD zenyewe screen ndiyo inafanya kazi zote..... Kwa future wengine wanasema, itakuja kuwa kama hili tangazo:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Simply zote ni laptop lakini inapokuwa more portable ndo unaweza kuiita netbook but zote ni laptop kwa uelewa wangu, maana kuna laptop nyingine ni nzito hizo dah! hata kuiita netbook unasita...

  sijui kama nihivyo ngoja tuwasubiri masharobaro..
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  sikushangai....najua umekariri neno "shalobaro" na akili yako inakuambia kwamba linaingia kila mahali... hizi shule za kata tabu tupu....
   
 5. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  netbook KIMATUMIZI ni kwa ajili ya kazi nyepesi, browsing, word processing.. Sio mikazi mizito, na OS zake zinatakiwa ziwe lightweight... nadhani umeelewa..
   
 6. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Asante,Kwa hiyo Netbook haiwezi kufanya kazi kama vile [FONT=&quot]Designing,[/FONT] Video Editing hata zile ndogo ndogo siyo?
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  video editing ni kazi ngumu, inahitaji fast processor, big RAM, etc.
   
 8. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Itarukka! :tonguez:.. ila kama development, unaweza tumia lightweight Ide's. lakini kama video editin, kama alivyosema gurta, bonge la kazi, rendering sijui na nini...
   
Loading...