Nini tofauti kati ya halmashauri za upinzani (CHADEMA) na za CCM kwenye report ya LAAC?

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Wakuu, ningependa kufahamu kama kuna utofauti kati ya halmashauri zinazoongozwa na upinzani (specifically CHADEMA) na zile zinazoongozwa na CCM kwenye taarifa ya kamati ya Hesabu za Serikali za mitaa ((LAAC) iliyowakilishwa na Lyatonga mrema . Je kuna mwenye undani wa hii taarifa atusaidie? Ingawa zipo chache hili litatusaidia zaidi kuupima utendaji wa upinzani.
 
ni mapema kupata tathmini kwani wabunge hawajamaliza mwaka au hata kufika june mahesabu yatakapofungwa!
 
Riport ya sasa ni ya 2009, chadema walikuwa na halmashauri kama karatu
 
Back
Top Bottom