Nini tatizo la Nape Nnauye?

Kama cdm wako smart na wako against kauli za huyu dogo, tunasubiri wamchulie hatua kwa kuwahusisha na yalito mkuta Chacha Wangwe na kuhusu Zito na Shibuda.
Ngoma inogile.
 
lisemwalo lipo dalili ya mvua ni mawingu ukubwa wa pua hii misemo ina maana kubwa sana kwa hiki chama chadema kuelekea 2015
 
Vipi saccos 2015 itatoboza kweli.Watu wanavuna 140,160 zaidi ya BOT.Zitto mnamfukuza lini si ametuma na CCM.Wenye kadi ya CCM hajatumwa maajabu yapo Chadema
 
Mimi huyu jamaa simwelewi, akiwa anaongea yacyohusu siasa yupo smart sana na makini lakini likija suala la siasa anageuka frm hero 2 zero na kuongea kama amekatwa kichwa, huwa cjui ccm huwa inaharibu ubongo au kuna siri gani mi cjui
Ndugu utakuwa uliona kwa Makengeza, Nape ni kilaza, hata akiongea kwenye KITCHEN PARTY huwa anaropoka. Ila sio kosa lake, mara nyingi watoto wa nje ya ndoa huwa ni second best kwenye malezi kwa hiyo huwa wanakosa upendo wa mama. Nape baada ya kukosa upendo wa mama kwenye makuzi yake anautafuta upendo huo kwa kuisema CDM.

Uzuri ni kwamba Nape anasaidia sana kuijenga na kuiimarisha CDM maana ikifika 2015 itakuwa imepambana na njama zote, wasaliti na wenye njaa wamefukuzwa na kazi inabaki moja ya kutafuta ushindi. Ahsante Nape kwa kusaidia ukombozi bila kujielewa
 
Usijali. Ni ushahidi tosha kuwa CDM ndiyo chama mbadala pekee wa Chama cha majambazi(CCM). Anatapatapa. Kwa msomaji mwenye akili chambuzi CDM ndiyo mkombozi wa WATZ.
 
Tatizo la Nape ni mtoto wa "nje" asiyetambulika "ndani" anatafuta kila mbinu awe mtoto wa "ndani"......impossible as it is

 
Mimi kilichonistua kuliko vyote ni pale alipodai kwamba, mahakama ilikosea kuhusu kifo cha Chacha Wangwe. Waliomua Chacha Wangwe ni Chadema kwasababu ya Ukabila na Ukanda.

Pamoja na kwamba ni kazi yake kuikandia CDM, lakini mimi naona that is too much. Kweli akiburuzwa mahakamani Nape anaweza kuthibitisha hizo tuhuma. Halafu anatoa ujumbe gani kwa mahakama na mahakimu wetu?
 
wanao tofautiana maoni na viongozi wa juu chadema tatizo ni nape na wassira,masalia ndani ya chadema tatizo nape na wassira,pm7, tatizo nape na wassira,ukanda ndani ya chadema wanachochea wassira na nape,udini ndani ya chadema wanachochewa na nape na wassira,kufukuzana ndani ya chadema tatizo nape na wassira,mkiambiwa kwa jinsi mnavyoipeleka chadema itakula kwenu,mnalalama wanaoisambaratisha ni nape na wassira na hili la slaa kujukopesha mamilioni ya chama nalo katumwa na nape na wassira?
 
Umemsahau na mmoja Mwigulu Chemba. Nashukuru pamoja na unafiki wako wa kutoona matatizo ya CCM leo umebaini wanaohujumu CDM, big up. Washauri twende Mtwara sana tukawaelimishe wananchi kuhusu gesi tukiongozwa na Nape, Wassira na Mwigulu
 
Ana haki na kila sababu ya kulalamikia ubaguzi wa Chadema kwani wamewabagua mamluki wake kabla ya kuhitimisha kazi aliyowatuma. Na ajua kwamba Shibuda atafukuzwa kwani ameishasomeka kwenye camera za CDM. Chezea power of people wewe.
 
hata kama nikazi yake lakini aseme vitu vya ukweli siyo vya kutunga kama mwegulu mchemba

sasa afanyeje jamani na anatakiwa ku-perform. hakuna njia nyingine zaidi ya kusema uongo, kuvuruga na kutengeneza chochote kibaya kitakachoathiri image ya chama pinzani chenye nguvu, na kwa mantiki hii cdm ndio wanaotishia uhai wa ccm. if he does not show, kwanza hatakuwa na uhakika na kibarua chake n.k, nape yuko kazini jamani, japokuwa kazi aliyokuwa asign sio nzuri sana, inatengeneza maadui
 

huwa mnanichekesha tu mnavyotoa maoni na ushauri kwa cdm as if mnaihurumia au kuipenda, wakati hata sala zenu za asubuhi na usiku mnaiombea kifo cdm, mmeshasahau hata mambo yenu ya msingi yanayowakabili mnayotakiwa kuyashughulikia. mkilala mnaota cdm, mkitembea mnaota cdm, kwenye vikao vyenu cdm, hakuna anayemaliza jambo bila kugusa cdm. hongera cdm, mnawatoa kamasi ccm walahi
 
hapana.tunataka upinzani safi ili ufanye chama tawala nacho kiwe safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…