el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
Kuna Samsung Note 4 nilimpa mtu ikiwa safi kabisa Ila baada ya muda akaniletea malalamiko kuwa inajizima baada ya muda fulani hivyo nikamuelekeza aende kwa fundi.
Kwa kifupi, alipotoka kwa Fundi aliambiwa sababu ya Simu kujizima ghafla ni kwamba Simu imepoteza faili (mafaili)lake ( hiki kitu sijawahi kukisikia kabisa).
Ningependa kufahamishwa kama ni kweli kuna tatizo kama hilo Kwenye Simu (kupoteza mafaili) na njia ya kulitatua.
Kama hakuna tatizo kama hilo , je lipi hasa linaweza kuwa tatizo linofanya simu kujizima ghafla maana hata ukiiwasha Simu charge ya simu inarudi katika asilimia zile zile na inafanya kazi vizuri tuu ?!.