Nini tatizo hapa kwangu mimi

Nini tatizo hapa kwangu mimi

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Mm nina miaka 19 na nusu hivi nina tamani sana niwe na mpenzi kuna madem ka 4 nimewaambia //NITAMKUBALI M1// lkn naambulia story tu wanasema ati wana watu wao nifanyeje ili nipate angalau m1
 
We dogo acha kutaka kufanya umalaya subiri ukue na uwe na maisha yako na nina uhakika bado ni kula kulala kwa wazazi wewe. Koma kabisa kutuuliza wazee wazima ujinga humu, wazee wenzangu humu wamechukizwa sana na huu ujinga ulioandika.
 
Mapenzi unayajua ww?...sema balehe inakusumbua
 
Acha hzo dogo,soma kwanza uwe na maisha yako mbona watakuja tu bila kuwatafuta..watoto wa kizaz hki hakika mmelaaniwa!
 
njoo kwangu nitakupa ada urudi darasani..
hii ndo tatizo la watt wa shule kwenda na simu shuleni au kuruhusiwa internet cafe..
 
Hizi ni nyege mshindo tu bwa mdogo...subiri ukue kwanza...

Mm nina miaka 19 na nusu hivi nina tamani sana niwe na mpenzi kuna madem ka 4 nimewaambia //NITAMKUBALI M1// lkn naambulia story tu wanasema ati wana watu wao nifanyeje ili nipate angalau m1
 
Komaa tu usikate tamaa ipo siku shimo litatema!
 
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]kilambalambila [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]kilambalambila [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]Nokia83 [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]Redrose20 [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]FirstBorn [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]CYBERTEQ [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]50cent [/FONT][FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]watu8[/FONT]

Kwa miaka 20 kuhisi kuwa na mpenzi sio jambo la ajabu hata kidogo nyie watu wazima mpeni msaada wa kueleweka sio kumkashifu. huyu anaweza hata kuoa, na kama una mtoto over 18 hata kama anashinda church usidanganywe kaa ukijua kuwa anamegana tu huko vichochoroni.

ni heri ukamwambia mtoto au ndugu yako aweke wazi kama yupo kwenye mahusiano ili ulimwengu usije ukamuabuse. TENA NYINYI MNAO ACT KUWA NA MAADILI SANA NDIO MNAPOTEZAGA KWELI WATOTO. MIAKA 19 KWENDA ISHIRINI SIO MTOTO ANAJUA KILA KITU KUSEMA NA KUFANYA.
 
Back
Top Bottom