Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,882
- 105,279
Dogo nenda "mdogomdogo" usije ukaharibu.Hebu sema una watamani tu au unataka kuoa?Umejipangaje?Well,karibu ukubwani.
Acheni hizo banaaaa
Huyu ni form 4 ikiwezekana 5.
tuambiane ukweli hapa.. those days age hii hatukuwa na wapenzi mashuleni??
sasa hivi na hizi teknolojia hali inaweza kuwa tete zaidi. Nachofikiri ni bora ashauriwe vizuri aelewe kuliko kumtisha na kumshangaa.
Kumbe ulianza kudimbulwa mapema???
Kwani shida yake anataka elimu mpaka arudi shule au anataka demu, au kunashule inatoa mademu!!!!!!!!
Lolz pole yako
Who told u kuwa na mpenzi ni lazima msex..???
Mapenzi sio huko chini tu ndugu yangu
!
!
kufanya matusi ni lazima