Zed
JF-Expert Member
- Mar 28, 2009
- 553
- 540
Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Lowassa aliwahi kutoa kauli hii na ameirudia tena kama onyo kwa watanzania na wanahabari. Je nini tafsiri yako mtanzania?
"Hatukukutana na Rais Kikwete barabarani, narudia tena, hatukutana na rais Kikwete barabarani!" alisema Edward N. Lowassa
"Hatukukutana na Rais Kikwete barabarani, narudia tena, hatukutana na rais Kikwete barabarani!" alisema Edward N. Lowassa