Nini tafsiri ya vijana kuteuliwa kuwa Mawaziri na manaibu Waziri?

Nilikuwa sijafuatilia vizuri wateuliwa hawa...
Baada ya kuangalia vizuri nimeona kuna vijana wengi ambao wameaminiwa kufanya kazi kubwa hizi.
Mfano pekee ni Mh UWESO wa pangani, kijana ambaye sio nyota yake inang'aa ktk medani za siasa, Na vijana wengine wengi ambao wapo ktk baraza hili wanaoapishwa leo.

Hizi sura za vijana zinatupa picha gani?
Kwa maoni yangu ni hatua nzuri kuwaandaa vijana miaka ijayo tuweze kuwa na watu wa kuchukua nafasi kubwa nchini. VIJANA WA SASA NDIO TAIFA LA KESHO NA NDIO VIONGOZI WA KESHO.
Mkuchika nae kijana. Huyu mkuchika ni kielelezo cha viongozi wala rushwa kwenye hii nchi. Alishasababisha nikaacha kazi kwenye ofisi moja ya umma hapa nchini. Nilienda kwao kwa vijijini kuhakiki mali zake. Nilivyofika mkuchika hayupo nikamkuta babake. Baba kwa kutojua lengo langu akanipitisha kwenye mali zote za mtoto wake. Baada ya muda mkuchika akapiga simu akambiwa kunamgeni kaja katwambia tumpitishe kwenye mali zako je ulimtuma? Mzee akapanic sana sana na kuanza kunifuatilia. Niliporudi ofisini nilipihwa majungu hadi nikaamua kuacha kazi.
Leo kuna mijitu inasema sijui Tanzania mpya sijui nini? Hawa kina mkuchika ni matajiri halafu kuna mtu anatwambia ana uchungu na nchi wakati hata mali zake hajatangaza
 
Una akili fupi sana mkuu!!
 
Ulitaka awe maskini? Baba yenu Lowassa si anasema anauchukia umaskini
 
Anaitwa Jumaa Hamidu Aweso, naibu waziri maji na umwagiliaji (mb). Ni katika vijana machachari wanaojua nini wanafanya.. naamini atakua na michango mkubwa sana katika baraza la mawaziri la mh. John Magufuli na bungeni pia...
nampata kwa uzuri mkuu.
 
Mkuchika nae kijana. Huyu mkuchika ni kielelezo cha viongozi wala rushwa kwenye hii nchi. Alishasababisha nikaacha kazi kwenye ofisi moja ya umma hapa nchini. Nilienda kwao kwa vijijini kuhakiki mali zake. Nilivyofika mkuchika hayupo nikamkuta babake. Baba kwa kutojua lengo langu akanipitisha kwenye mali zote za mtoto wake. Baada ya muda mkuchika akapiga simu akambiwa kunamgeni kaja katwambia tumpitishe kwenye mali zako je ulimtuma? Mzee akapanic sana sana na kuanza kunifuatilia. Niliporudi ofisini nilipihwa majungu hadi nikaamua kuacha kazi.
Leo kuna mijitu inasema sijui Tanzania mpya sijui nini? Hawa kina mkuchika ni matajiri halafu kuna mtu anatwambia ana uchungu na nchi wakati hata mali zake hajatangaza
hapa tunazungumzia wateuliwa vijana na expected tija yao kwa taifa.
hayo mengine ukiyapeleka kwenye vyombo husika itakuwa umefanya jambo la maana.
jifunze kufocus kwenye scope ya mjadala mkuu
 
Teuzi za mhe Rais za kuteua vijana ktk nyadhifa mbalimbali ni mfano mzuri wa kuigwa na taasisi zingine za serikali.

Kwa kasi ya awamu hii ya tano ni wazi kabisa nguvu ya vijana inahitajika sana ktk kuharakisha maendeleo ya nchi yetu.
Ni mfano mzuri sana wa kuigwa na idara zingine.
 
Vijana waoga ndo wanapewa chance, wenye uthubutu wa kusimamia haki kama nape hawatakiwi, hii ndo nchi yangu
Tokea nape awe waziri ni uthubutu upi huo ameonesha? Kuzuia bunge live kweli hilo ameliweza na kufungia magazeti? Wazee wa madodoki na oil chafu.
 
Nilikuwa sijafuatilia vizuri wateuliwa hawa...
Baada ya kuangalia vizuri nimeona kuna vijana wengi ambao wameaminiwa kufanya kazi kubwa hizi.
Mfano pekee ni Mh UWESO wa pangani, kijana ambaye ndio nyota yake inang'aa ktk medani za siasa, Na vijana wengine wengi ambao wapo ktk baraza hili wanaoapishwa leo.

Hizi sura za vijana zinatupa picha gani?
Kwa maoni yangu ni hatua nzuri kuwaandaa vijana miaka ijayo tuweze kuwa na watu wa kuchukua nafasi kubwa nchini. VIJANA WA SASA NDIO TAIFA LA KESHO NA NDIO VIONGOZI WA KESHO.
duh....mtu amekuwa waziri au naibu waziri halafu unasema wanaandaliwa kuja kuchukua nafasi kubwa nchini....nafasi gani hizo zaidi ya hizo au unamaanisha urais.....kama nafasi kubwa wameshapata hakuna zaidi ya hapo....vyeo vilivyobaki ni vya mtu mmoja mmoja!.
 
Yaaaani kuna watu sijui ukiwapa wao ndio wafanye maaamuzi itakuwaje kila kitu big noooooo
 
Ukiwa msimamizi wa kweli wa haki hauwezi kuingia kwenye nafasi yoyote serikalini..
Qualification no 1 ni Kujipendekeza na Unafiki.
 
Nilikuwa sijafuatilia vizuri wateuliwa hawa...
Baada ya kuangalia vizuri nimeona kuna vijana wengi ambao wameaminiwa kufanya kazi kubwa hizi.
Mfano pekee ni Mh UWESO wa pangani, kijana ambaye ndio nyota yake inang'aa ktk medani za siasa, Na vijana wengine wengi ambao wapo ktk baraza hili wanaoapishwa leo.

Hizi sura za vijana zinatupa picha gani?
Kwa maoni yangu ni hatua nzuri kuwaandaa vijana miaka ijayo tuweze kuwa na watu wa kuchukua nafasi kubwa nchini. VIJANA WA SASA NDIO TAIFA LA KESHO NA NDIO VIONGOZI WA KESHO.
Rahisi kuwacontrol kwakuwa hawana uzoefu na wepesi kutenda bila kufikiri na rahisi kuwazoeza uditekta na kuutendea kazi haraka
 
Back
Top Bottom