Nini tafsiri ya vijana kuteuliwa kuwa Mawaziri na manaibu Waziri?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,208
2,000
Nilikuwa sijafuatilia vizuri wateuliwa hawa...
Baada ya kuangalia vizuri nimeona kuna vijana wengi ambao wameaminiwa kufanya kazi kubwa hizi.
Mfano pekee ni Mh UWESO wa pangani, kijana ambaye ndio nyota yake inang'aa ktk medani za siasa, Na vijana wengine wengi ambao wapo ktk baraza hili wanaoapishwa leo.

Hizi sura za vijana zinatupa picha gani?
Kwa maoni yangu ni hatua nzuri kuwaandaa vijana miaka ijayo tuweze kuwa na watu wa kuchukua nafasi kubwa nchini. VIJANA WA SASA NDIO TAIFA LA KESHO NA NDIO VIONGOZI WA KESHO.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,785
2,000
Vijana waoga ndo wanapewa chance, wenye uthubutu wa kusimamia haki kama nape hawatakiwi, hii ndo nchi yangu
Leo Nape anasimamia haki, dah!! Hatari sana.
By the way, wakati sisiemu ikitemgeneza viongozi wajao, chadema inachukua kina Lowassa kwa ajili ya uongozi ujao!
Shonza, kigwangala, mpina, ndungulile, jafo, etc!!
Vijana tunaaminika sasa!!
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
895
1,000
Leo Nape anasimamia haki, dah!! Hatari sana.
By the way, wakati sisiemu ikitemgeneza viongozi wajao, chadema inachukua kina Lowassa kwa ajili ya uongozi ujao!
Tumia akili mkuu hapa tunazungumza mambo ya kitaifa wewe unaleta mambo ya vyama,
 
  • Thanks
Reactions: Pep

King Sammy

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
392
500
Nilikuwa sijafuatilia vizuri wateuliwa hawa...
Baada ya kuangalia vizuri nimeona kuna vijana wengi ambao wameaminiwa kufanya kazi kubwa hizi.
Mfano pekee ni Mh UWESO wa pangani, kijana ambaye sio nyota yake inang'aa ktk medani za siasa, Na vijana wengine wengi ambao wapo ktk baraza hili wanaoapishwa leo.

Hizi sura za vijana zinatupa picha gani?
Kwa maoni yangu ni hatua nzuri kuwaandaa vijana miaka ijayo tuweze kuwa na watu wa kuchukua nafasi kubwa nchini. VIJANA WA SASA NDIO TAIFA LA KESHO NA NDIO VIONGOZI WA KESHO.
Wazee wametuibia rasilimali zetu mfano Chenge (vijisent), Tibaijuka (hela ya mboga ), Muhongo etc. Tunataka vijana Hapa kazi tu
 
mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,208
2,000
Vijana waoga ndo wanapewa chance, wenye uthubutu wa kusimamia haki kama nape hawatakiwi, hii ndo nchi yangu
Inategemea na tafsiri ya uoga.
kikubwa kijana kupewa nafasi kubwa hizo ni hatua njema. Kazi kubwa ya kiongozi ni kuwakuza wadogo na kuwafanya waweze kufaa kwa baadae siku kizazi cha babyboomer kitakapopotea.
 
mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,208
2,000
Nmependa uteuzi wa Jaffo na kuwa full minister..!
binafsi nimefarijika sana kuwaona wote hao wakina Jafo, mwigulu,kigwangala,uweso,mpina, shonza, na wengine bila kujali wanachangamoto gani nimejifunza.
Sisi wapenzi wa mambo ya Imani, tulipoamua kuoverhaul nafasi kubwa na kuwaamini vijana mambo yalibadikika, tukaona ubunifu,speed na mabadiko halisi. Kikubwa wafanye kazi kwa faida yetu wananchi. Tunatarajia mengi kutoka kwao.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,785
2,000
Tumia akili mkuu hapa tunazungumza mambo ya kitaifa wewe unaleta mambo ya vyama,
Kama umekasirika nenda ufipa kajinyonge! Ebu pendekeza majina yako tuyaone, mmefunza kukosoa ila hamna suluhisho mbadala wa mnachodai hakiko sawa, umburura mtupu mmekazwa!
Kula picha hii ya huyu "dogo" jembe kawa naibu waziri.
image.jpeg

Najua inakuuma sana hapa!
Weka wivu pembeni kijana!!
 
Jumbe Adarusi

Senior Member
Oct 18, 2012
105
225
Anaitwa Jumaa Hamidu Aweso, naibu waziri maji na umwagiliaji (mb). Ni katika vijana machachari wanaojua nini wanafanya.. naamini atakua na michango mkubwa sana katika baraza la mawaziri la mh. John Magufuli na bungeni pia...
 
mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,208
2,000
Ujana unakoma ukiwa na umri gani?
vijana hapo kwenye siasa ni angalau chini ya miaka kama 46 maana tuliambiwa hata JK alipojitokeza mara ya kwanza kugombea urais alisemekana kuwa ni kijana .
ila hapa wamo hadi Mfano huyo kweye thread ni kama 32.
Mh Shonza 30.
kumbuka hata Salim Ahmed Salim akiwa na miaka 22 aliteuliwa kuwa barozi wa Tanzania Misri.
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,379
2,000
Leo Nape anasimamia haki, dah!! Hatari sana.
By the way, wakati sisiemu ikitemgeneza viongozi wajao, chadema inachukua kina Lowassa kwa ajili ya uongozi ujao!
Shonza, kigwangala, mpina, ndungulile, jafo, etc!!
Vijana tunaaminika sasa!!
huyo shonza sio oili chafu huyo au nimemfananisha....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom