Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 646
- 765
Habari wakuu
Kuota ndoto upo shuleni unazunguka eneo la shule pasipokuingia darasani huku unapishana na makundi ya wanafunzi wameondolewa madarasani kwa kukosa hada wamejitenga pembeni wanajisomea wakati eneo lote la shule likiwa na ulinzi mkali wa askari.
Hii ndoto inamaana gani???
N:B
Hali yangu kwa sasa sina ajira(Bachelor degree).
Sina ndoa(umri 34)