Nini tafsiri ya MWIGULU KUPATA MKANDA WA VIDEO

Nini tafsiri ya MWIGULU KUPATA MKANDA WA VIDEO

Sha Makala

Senior Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
100
Reaction score
13
Kufuatia kauli ya Tundu Lisu kuwa Ludovick ndiye aliyemrekodi Lwakatare na mawasiliano yameonesha mtiririko huo. Je nini tafsiri ya MWIGULU KUFANIKIWA KUMPATA MTU ANAYEWEZA KUMWAMBIA MIPANGO UNAOENDELEA NDANI YA CHADEMA, KUKUBALI KUREKODI NA KISHA KUMPELEKEA MWIGULU. JE CHADEMA ITAFANIKIWA KUFICHA UOVU WA KILICHOKUWA KINAPANGWA KWA KULALAMIKIA MWIGULU KUPATA MTU WA KUREKODI NJAMA HIZO KWA 50000 AU KIWANGO CHOCHOTE?
 
Du. Huna stori nyingine? Magamba bwana!

Chadema bwana. Chochote kwenye ukweli mnakwepa kuchangia ikiletwa tetesi ya jambo la kupika haswahaswa linalohusu ccm au serikali hapa mngeona hakuna anayepita. Nchi haitakombolewa kwa unafiki na haki haitatendeka kwa unafiki. Mbona hili mnashindwa kusimamia kweli. Mungu amemtumia huyu ndugu kuonesha unafiki wa wanaojiita watetea haki, wspigania haki na wakombozi kivuli
 
Mopiiimokonziiiiii umesemaukweli. Hii maada jamaa hawataki kuipita katikati wanaishia kulaumu aliyerekodi na aliyetuma kurekodi
 
Back
Top Bottom