Nini solution ya proximity sensor ya huawei y 300

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,028
Reaction score
650
simu yangu ya huawei y 300 inasumbua proximity sensor, kiasi ambacho nikimpigia mtu simu ziwezi kukata hadi nitumie power button, pia ikiwa ime sleep ziwezi kuitumia hadi nitumie power button, nini solution yake wadau
 
Dah ndugu na mimi nilipata tatizo kama hilo, nilizunguka sana kwa mafundi kariakoo ikashindikana, nilipata mtu nikamsukumia tu
 
simu yangu ya huawei y 300 inasumbua proximity sensor, kiasi ambacho nikimpigia mtu simu ziwezi kukata hadi nitumie power button, pia ikiwa ime sleep ziwezi kuitumia hadi nitumie power button, nini solution yake wadau

hivyo ulivyovitaja vina mahusiano gani na proximity? na simu simu ikisleep si unawake na power button? au?
 
Mtoa mada proximity sensor kazi yake ku save power kwa kuzima mwanga wa screen pindi simu inapokuwa sikioni, au hata ukipiga simu au ukapokea simu, jaribu kuziba na mkono sensor za hapo juu ya kioo utaona screen light goes off, hivyo sioni mahusiano hayo na kukata simu.
 
Nahic mtoa mada hajui maana ya kitu alicho uliza
 
Mtoa mada proximity sensor kazi yake ku save power kwa kuzima mwanga wa screen pindi simu inapokuwa sikioni, au hata ukipiga simu au ukapokea simu, jaribu kuziba na mkono sensor za hapo juu ya kioo utaona screen light goes off, hivyo sioni mahusiano hayo na kukata simu.

mahusiano ya kukata simu yanakuja time ambayo screen light iko off then unahitaji kukata simu but hauwezi kozi screen iko off coz ili uweze kukata unahitaji screen iwe on.
 
hivyo ulivyovitaja vina mahusiano gani na proximity? na simu simu ikisleep si unawake na power button? au?

proximity inafanya simu iwe inasleep na ku wake automatic ukipigiwa or ukipiga simu na kuiweka sikioni but tatizo la hii simu yangu ni kuwa time simu inapokuwa imesleep automatic haiwake automatic as it supposed to be.
 
jaribu kupractise na kidole au kitu chengine uone maybe ni vumbi au something kimeganda. otherwise linaweza kuwa tatizo la firmware
 
Back
Top Bottom