Nini siri za Komando?

Nini siri za Komando?

JK bwana alikaribishwa pale 92 kwenda kuwatembelea makomando. sasa kufika ukumbin alikuta pako empty kabisa hamna mtu akapigwa na butwaa. baada ya kukaa chin kwenye high table ikabd amwuulize yule c.o mbona hamna watu, c.o akamwambia mbona hao wapo, kugeuka kakuta watu walishajaa ukumbi mzima wametulia wanamsikiliza, jamaa akashindwa kuelewa waliingia sangap nakuweza kukaa bila kusikika hata mnong'ono. makomando bwana acha tu. tushee story mbalmbal za makomando


mnnh kikwete mwenyewe alikuwa luteni kanali kwanini ashangae? basi hakuwa mwanajeshi bali kada wa CCM aliyekuwa anafundisha wanajeshi kuwa makada wa CCM.
 
mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?

je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?
mimi sizani kama huyu naye jeshi, kwa nini mambo yanayohusu ishu hazijui
 
Hao ni ma-power tu... mbona mi naweza....tu nasio mjeshi.... naweza kupanda juu ya mti kwa speed ya hatari bila kuukumbatia naruka kimo cha futi 7.6 juu speed 120 ....naweza pia kuicontroo akili kwakujifanya chizi.... ukaamin kuwa mi mwehu...... nimekukuu kama ilivyo hapa uswazi kwetu baada kuipata mada hii nikaiuza jamaa mmja akatokea anaweza naye ni komandoo..... in short komandoo analazimisha kisichowezekana kiwezekane.... haya sasa tuende kazi
waweza tembea uchi
 
Inawezekana ukishafika level za juu za ujeda unaanza kuwa na uchawi wa nguvu za giza?
Eti wadau?
 
Kuna elimu ya wazee wetu huwa wanafundisha kule!
 
ni mbinu gani tena hizo na mie nijifunze manake natamanigi kweli kweli niwe na uwezo wa kuingia ikulu ninywe kahawa na kashata lkn nashindw naishiaga kupita tuu kwa nje na kuwaona tausi kwa mbali

Kwa maelezo haya tayari umeishajizuia kupata furusa ya kujifunza mbinu hizo. Kwanza ujue mbinu hizo ni ghali sana 'kilasimali'...hivyo lazima mbinu hizo zitolewe kwa wahusika kwa kazi maalumu na ambayo ni 'nyeti' hasa. Nasikitika kusema kuwa kuingia ikulu na kunywa kahawa na kashata siyo mojawapo ya kazi maalumu na ambayo ni 'nyeti' hasa.
 
Unajua hawa watoto(form six leaver) wanadanganyana mengi wakiwa ndan ya kambi za jkt sasa mmoja wao ndo huyu hapa mleta thread
 
Back
Top Bottom