Nini siri za Komando?

Nini siri za Komando?

Nikuulize,hiyo escort ya watu wawili alikuwa amekaa nao wanasema alitoweka vipi? bado sioni uhalisia wa story yako

mkuu,wale jamaa walvofika main gate na mataa yakawasha, c.o wa kikosi nae akaja pale getini. sasa wale 2 escorts waliposhuka wakahault kwa c.o kumsalimia ili aweze kuwaruhus kumshusha yule bwana,walipopewa green light kugeuka nyuma hawakumuona mtu
 
Kwani JK alifanyeje alipokuja huko ngelengele? Au aliiba ubwabwa tena? Manake mzee kwa ubwabwa nazi mh!
 
Komandoooooooooooooooooo.

Ye kawaambia anataka kucrow nyie mnaleta defender si nikutafutana ubaya huku jamani,nendeni mtamkuta mbele anacrow.ni wazi kuwa hataki kupanda gari.

9800
 
Ni ngumu kupata details sahihi hususani kwa mtu anaye heshimu miiko ya viapo vyako hizo ni siri za jeshi. Unataka kujua huwa inakuwaje jitahidi uruke viunzi upate nafasi ya kwende 92kj utaelewa tu huwa inakuwaje. Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia uicheze
 
Hao ni ma-power tu... mbona mi naweza....tu nasio mjeshi.... naweza kupanda juu ya mti kwa speed ya hatari bila kuukumbatia naruka kimo cha futi 7.6 juu speed 120 ....naweza pia kuicontroo akili kwakujifanya chizi.... ukaamin kuwa mi mwehu...... nimekukuu kama ilivyo hapa uswazi kwetu baada kuipata mada hii nikaiuza jamaa mmja akatokea anaweza naye ni komandoo..... in short komandoo analazimisha kisichowezekana kiwezekane.... haya sasa tuende kazi
 
donlucchese, kwa kuandika nimekujua na hivyo unataka kuniunguzia picha! Utajua kuwa mimi ni moja kati ya makomandoo watata.
 
Last edited by a moderator:
Kwani JK alifanyeje alipokuja huko ngelengele? Au aliiba ubwabwa tena? Manake mzee kwa ubwabwa nazi mh!

JK bwana alikaribishwa pale 92 kwenda kuwatembelea makomando. sasa kufika ukumbin alikuta pako empty kabisa hamna mtu akapigwa na butwaa. baada ya kukaa chin kwenye high table ikabd amwuulize yule c.o mbona hamna watu, c.o akamwambia mbona hao wapo, kugeuka kakuta watu walishajaa ukumbi mzima wametulia wanamsikiliza, jamaa akashindwa kuelewa waliingia sangap nakuweza kukaa bila kusikika hata mnong'ono. makomando bwana acha tu. tushee story mbalmbal za makomando
 
Muongo wewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Komando anakula huku amebeba dunia chezea 92kj ww???
 
mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?

je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?

Kuwa mjeda ni hongera siku hizi??
 
Sasa ungeuliza huko jeshini hasa kwenye mafunzo yenu ukituletea huko mambo yenu utapata porojo tu, au unawapa makomandoo promo? ukiwa komandoo ni promo tosha.
 
Kwa nini umeamua kuja kutangaza niliyoyafanya mahali pale? Tena mbaya zaidi umeileta jf, ambako watu wana akili sana ya kudadavua mambo.

Kwa ukomando wangu, nitahakikisha hupati nyota.
 
JK bwana alikaribishwa pale 92 kwenda kuwatembelea makomando. sasa kufika ukumbin alikuta pako empty kabisa hamna mtu akapigwa na butwaa. baada ya kukaa chin kwenye high table ikabd amwuulize yule c.o mbona hamna watu, c.o akamwambia mbona hao wapo, kugeuka kakuta watu walishajaa ukumbi mzima wametulia wanamsikiliza, jamaa akashindwa kuelewa waliingia sangap nakuweza kukaa bila kusikika hata mnong'ono. makomando bwana acha tu. tushee story mbalmbal za makomando

Haaaaa......! Hii hata JK mwenyewe amekataa !
Hayo mafunzo yalipigwa marufuku (ya kuingia kimya kimya) maana wanaweza wakatinga mpaka Ikulu kimya kimya !
 
Kuwa mjeda ni hongera siku hizi??
kwann isiwe hongera kwake?
kwanza ukimwona kijana ni mjeda basi jua %kubwa kaenda shule walau ana kadigrii kamoja
af ujue ana salary na allowance
pia ujue ana security manake hata kukopesheka anakopesheka
utamlinganisha mjeda na mwl mathalan?
 
We utakuwa sio MTANZANIA, nime-prove
 
Miongoni mwa maajabu yetu ni kama haya
1.Kupaki gari kwa mtindo kama huu tunapokuwa tunafanya mazoezi yetu ili kukwepa wagambo /majembe wasipige msumari...tizama picha ya gari la komamndo.
2.Tunauwezo wa kufanya mazoezi adimu na kujaza msuri wa kikomandoo kama huu ...
3.Tunauwezo wa kuonekana na jinsia mbili kwa wakati mmoja ili kuzua utata tunapokuwa chumbani tukitaka kufanya yetu, cheki picha yangu hapo chini nikiwa na rasta zangu.
4. Tuna uwezo wa kuona mbali kama mnavyoniona hapa nikizuga kumsalmimia huyu while ninafanya yangu.

Uliza kingine.

Hahahahahaha🙂 Mkuu Mein Kempf asante sana kwa kuifanya Ijumaa yangu ianze kwa kupanua mapafu kwa kiwango cha juu!! Hadi sasa nacheka!!!!
 
Back
Top Bottom