Nini siri za Komando?

Nini siri za Komando?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
salaam wakuu,
habari za mchana? kwa kifupi mi ningependa kufaham nin siri ya maajabu ya hawa viumbe wa 92kj. juzi kuna komando 1 alikuja pale mlandiz ucku kunywa bia, sasa baada ya kulewa akataka arudi mpaka ngelengele kwa kucrawl, na kwel akaanza kuanzia pale sheli na kwnda umbali mref kdgo tena kwa spidi ya hatari. ilipigwa simu kikosn kwet hapa 832kj nakutumwa defndr yenye ma mp kwenda kumchkua. cha ajabu jamaa alikubali fresh kwenda ila walipofika main gate hawakuweza kumuona yule komando ndan ya gari wakat alikua na escort ya watu wawil wamekaa nae kwenye gar kushoto na kulia af lock zilikua zimefungwa milango. nikiunganisha na ile ishu ya JK alipotembelea pale 92 ndo najiuliza hawa jamaa wana siri gan kwenye mafunzo yao?
 
mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?

je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?
 
Nikuulize,hiyo escort ya watu wawili alikuwa amekaa nao wanasema alitoweka vipi? bado sioni uhalisia wa story yako
 
Nilikutanana nae.. huku anakimbia.......
Hiyo ni mafunzo, hata wewe ukitaka kupotea unapotea......

images.jpg
 
mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?

je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?

Siyo uchawi wala imani ....bali ni mbinu ambazo nawe waweza kujifunza na kufanikiwa kuzitumia...pia hata ukaziboresha mbinu hizo....hakuna cha uchawi hapo wala nini...!!!
 
Huyo sio commando ,huyo ni Power Mabula mcheza mazzingaombwe,
Special Force wa wenzetu wanasifika kwa kua Multipurpose ya Manouver ya vifaa vyote(ndege,meli,vifaru ,aina zote za silaha etc ) ,uwezo wa kupata information(intelligence) na speed ya ku attack kwa surprise katika inaccessible situation
 
Tupo na mjeda humu..... chezea JF wewe

mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?

je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?
 
Siyo uchawi wala imani ....bali ni mbinu ambazo nawe waweza kujifunza na kufanikiwa kuzitumia...pia hata ukaziboresha mbinu hizo....hakuna cha uchawi hapo wala nini...!!!

ni mbinu gani tena hizo na mie nijifunze manake natamanigi kweli kweli niwe na uwezo wa kuingia ikulu ninywe kahawa na kashata lkn nashindw naishiaga kupita tuu kwa nje na kuwaona tausi kwa mbali
 
salaam wakuu,
habari za mchana? kwa kifupi mi ningependa kufaham nin siri ya maajabu ya hawa viumbe wa 92kj. juzi kuna komando 1 alikuja pale mlandiz ucku kunywa bia, sasa baada ya kulewa akataka arudi mpaka ngelengele kwa kucrawl, na kwel akaanza kuanzia pale sheli na kwnda umbali mref kdgo tena kwa spidi ya hatari. ilipigwa simu kikosn kwet hapa 832kj nakutumwa defndr yenye ma mp kwenda kumchkua. cha ajabu jamaa alikubali fresh kwenda ila walipofika main gate hawakuweza kumuona yule komando ndan ya gari wakat alikua na escort ya watu wawil wamekaa nae kwenye gar kushoto na kulia af lock zilikua zimefungwa milango. nikiunganisha na ile ishu ya JK alipotembelea pale 92 ndo najiuliza hawa jamaa wana siri gan kwenye mafunzo yao?

Miongoni mwa maajabu yetu ni kama haya
1.Kupaki gari kwa mtindo kama huu tunapokuwa tunafanya mazoezi yetu ili kukwepa wagambo /majembe wasipige msumari...tizama picha ya gari la komamndo.
2.Tunauwezo wa kufanya mazoezi adimu na kujaza msuri wa kikomandoo kama huu ...
3.Tunauwezo wa kuonekana na jinsia mbili kwa wakati mmoja ili kuzua utata tunapokuwa chumbani tukitaka kufanya yetu, cheki picha yangu hapo chini nikiwa na rasta zangu.
4. Tuna uwezo wa kuona mbali kama mnavyoniona hapa nikizuga kumsalmimia huyu while ninafanya yangu.

Uliza kingine.
 
Attachments

  • 284316_226434700731817_1878564_n.jpg
    284316_226434700731817_1878564_n.jpg
    19.1 KB · Views: 872
wangemwacha tu a crawl mpka huko ngerengere...komando huyo labda alikua na mzukaaa wa nguvu
 
mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?

je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?

lol, amna sistee niko a recruit on my quest 2get two stars on my shoulder in a near future. dah ishu ya jk hukusikiaga alivoenda kuwatembelea pale?
 
Back
Top Bottom