Nini siri ya miguu....?

Makalio, matiti na lips, macho yaan mimi hoi, lakini akija demu sijui anamiguu imekaaje hilo kwangu si kigezo
 
michirizi nyuma ya goti mie hoi
 
aseeee, kumbe miguu inamatter ee?? sasa sisi wenye tubelights cjui tufanyeje? lol!
 
aseeee, kumbe miguu inamatter ee?? sasa sisi wenye tubelights cjui tufanyeje? lol!
Honey asikuambie mtu bana... Hilo guu lako ndo lilinichechetua mtoto wa kiume nikalegea kwako. Na hako kajungu mashaalah hapo sijazungumzia hako kababy face kako na macho ya mwito? Si unakumbuka nlishakuambia sitokuacha?
 
wala wasikuogopeshe cacico wakishiba huko na spoke huwa zinatafutwa ladha yake ikoje.

aseeee, kumbe miguu inamatter ee?? sasa sisi wenye tubelights cjui tufanyeje? lol!
 
Honey asikuambie mtu bana... Hilo guu lako ndo lilinichechetua mtoto wa kiume nikalegea kwako. Na hako kajungu mashaalah hapo sijazungumzia hako kababy face kako na macho ya mwito? Si unakumbuka nlishakuambia sitokuacha?
hubby kam this way bana, si unajua nipo without!
 
teh teh mguu noma jamani daah!!! kama wa love wangu ndo kabisaa ctaki hata kuumiss
 
ngoja niwaambie kitu hapa.....kuna namna nyuma ya goti pakibonyea utateremkwa na umate mte pia ikiwa na ngozi safi kwa maana ya kutunzwa naturally na siyo uchakachuaji wa kujichubua ambao kwa kweli mimi kwangu ni kinyaa
 
kazi tunayo si tusio na miguu ya bia!napita!
 
poiint
 
Zamani ukiambiwa una mguu wa bia ilikuwa sifa kwa chupa za bia za wakati ule ila kwa chupa za bia za siku hizi ukiambiwa una mguu wa bia inabidi ulie sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…