Nini Siri Huyu Jamaa kuanza Kufuga ndevu?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,366
7,609
Wakuu Kuna huyu jamaa wa mbele hapo kwenye Avatar yangu ambaye kama.matangazo mawili hivi namuonaga. Especially lile analowatangazia Iftar walemavu kumuenzi Hayati Marehemu Mengi..

Uzi tayari.
 
Nimecheka hiyo picha
Wewe mkorofi
 
Wakuu Kuna huyu jamaa wa mbele hapo kwenye Avatar yangu ambaye kama.matangazo mawili hivi namuonaga. Especially lile analowatangazia Iftar walemavu kumuenzi Hayati Marehemu Mengi..

Uzi tayari.
Atakuwa kaacha kutoa mtaro
 
naomba mwenye picha ya ndumilakuwili wa gazeti la sani aniwekee hapa
InShot_20190525_231139696.jpeg
 
Alikuwa anafuga mbuzi gharama ikawa kubwa akaamua afuge ndevu tu ila hakamui maziwa
 
Wakuu Kuna huyu jamaa wa mbele hapo kwenye Avatar yangu ambaye kama.matangazo mawili hivi namuonaga. Especially lile analowatangazia Iftar walemavu kumuenzi Hayati Marehemu Mengi..

Uzi tayari.
Jamaa huwaga komedi huyu
 
Hii tabia ya bendela fuata upepo itasomba wengi .... Wanaume wamekazana kufuga ndevu wakati wanawake wamekuja na wazo la kufuga nywele za kwapa!!.... Tutarajie kuona viroja. ;)
 
Back
Top Bottom