Nini sababu ya Hidaya Usanga wa Act kuenguliwa u DED?

Chifu Nsyepa

Senior Member
Jul 9, 2016
106
98
Tumeshuhudia rais akitengua kimya kimya uteuzi wa Bi Hidaya Usanga aliyemteua kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Tarime. Usanga aligombea ubunge jimbo la Malinyi kwa tiketi ya ACT baada ya kuanguka ktk kura za maoni ndani ya Ccm.
 
Kuna waliodai rais alipotengua uteuzi ule alikuwa sahihi kwa kuwa hakuwa kada wa chama angeenda kutekeleza sera za chama gani?
 
Tumeshuhudia rais akitengua kimya kimya uteuzi wa Bi Hidaya Usanga aliyemteua kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Tarime. Usanga aligombea ubunge jimbo la Malinyi kwa tiketi ya ACT baada ya kuanguka ktk kura za maoni ndani ya Ccm.

Ni uchama tu japo nashangaa jana kamteua Lyatonga wa TLP?!
 
Back
Top Bottom