The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,554
- 7,079
Tena mwanaume kweri kweriMlishangilia jpm kufa Sasa yawakuta , tulilala milango wazi hapa dar , jamaa alikuwa noma sana Kwa wezi , majambazi hadi wazee wa ngada
USSR
Akili kisoda tu zina mtazamo huu, dogo aliibiwa kwa style hiyohiyo 2018. Huyo JPM akiwa rais, muacheni Mzee wa watu apumzike mnajifanya mnamkumbuka katika issues za kijinga kama hizi zisizo na ukweli. Mnatupandisha hasira tu, tunaishia mtukana tu marehemu.Mlishangilia jpm kufa Sasa yawakuta , tulilala milango wazi hapa dar , jamaa alikuwa noma sana Kwa wezi , majambazi hadi wazee wa ngada
USSR
Ndugu nadhani umecomment kwa mhemuko bado sijafahamu unatumia kiungo gani kufiria ila nadhani siku yakikufika utajuaMlishangilia jpm kufa Sasa yawakuta , tulilala milango wazi hapa dar , jamaa alikuwa noma sana Kwa wezi , majambazi hadi wazee wa ngada
USSR
Si anaenda naye kuendelea. Mwisho wa siku hamna kinachopoteaIla wezi wanarudisha sana maendeleo nyuma, mtu umepambana umetoa jasho yeye aje achukue tu kirahisi!
Anaenda naye vipiSi anaenda naye kuendelea. Mwisho wa siku hamna kinachopotea
Haya mambo mtu ayasikie kwa mtu tu watu anakuja wanafungua ndani mbaya zaidi wanaringia mpka chumbani umelala wanapekua kila sehemu hatari sanaAkili kisoda tu zina mtazamo huu, dogo aliibiwa kwa style hiyohiyo 2018. Huyo JPM akiwa rais, muacheni Mzee wa watu apumzike mnajifanya mnamkumbuka katika issues za kijinga kama hizi zisizo na ukweli. Mnatupandisha hasira tu, tunaishia mtukana tu marehemu.
Muacheni Mzee apumzike
Mkuu hizo sensors zinapatikana wapi ? Pia kama unajua bei pia nitashukuru sanaFungeni motion sensors za kutosha wakitia pua tu karibu na mlango alarm za kutosha.
Hao ni madada poa wauza mbususu sio hao vibaka wanaotufanya tusilale salamaJuhudi zimeshaanza maana nimesikia leo Polisi wamekamata Wadada 17.
Sasa JPM kaingia wapi hapa??? Saa nyingine kupitia mahaba yenu yaliyopitiliza mnafanya marehemu wa watu atukanwe.Mlishangilia jpm kufa Sasa yawakuta , tulilala milango wazi hapa dar , jamaa alikuwa noma sana Kwa wezi , majambazi hadi wazee wa ngada
USSR
Tatizo la hizi adhabu za papo kwa papo ni namna ya kuthibitisha kama mnayemuua ndiye haswa ni Mwizi.Halafu wakichomwa moto watetezi wanaibuka msijichukulie Sheria mkononi, hali yenyewe ngumu halafu mtu anakusafisha
Sidhani mkuu jamaa wapo wanafungua kuanzia grill mpka chumbaniMtunze funguo zenu vizuri, anaugandamiza kwenye sabuni na kwenda kutoa ufunguo kama wako bila kujijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna funguo fulani wanachongagaNiende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao vile.
Juzi tena kuna jirani mchana ametoka amefunga mlango pamoja na grill jamaa wakaenda wakafungua kama kwao na kubeba kila kitu walichotamani kubeba.
Usiku wa leo jamaa wameenda tena mtaa wa jirani wakafungua mlango bila kuvunja wakabeba Tv ,simu pamoja na pesa japo kwa maelezo yake anahisi walimpulizia dawa za kulala .
Hatua ya kwanza tumechukua ni kuaza kulala na majaba au mabeseni ya maji chumbani kwani inasemekana hata wakikupulizia dawa ya kulala haifanyi kazi (hatuna uhakika).
Ila kinachotupa shida wanawezaje kufungua milango na magrill bila kufunja wanatumia njia gani na njia gani ya kuweza kudhibiti wizi huu wa majumbani?