Nini nifanye na vifaa hivi ili nipate fedha?

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
habari za leo wadau

mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza naishi mbeya lakini kuna vifaa ninavyo lakini sjui ni kipi nfanye li8 vinilipe naomben msaada wa mawazo.vitu hvyo ni:

camera canon 5d,compyuer, taa,stand,na vngne vdogo vdogo.
naomben mnisaidie nn nifanye

naombeni kuwasilisha
 
Mkuu najua vzur kiingereza nifanyaje mkuu?


fanyaje
Pamoja na ushauri uliopewa.
Unaweza ukaingia mitandaoni, kuna website ambazo zitakulipa kwa kuandika articles ambazo NJ za kipekee.
Unaweza kuan,idha blog ya kuaim sio sisi huku wabongo Bali wazungu hassa Canada na marekani.
Then unatumia kama sehemu ya affiliated marketing ya bidhaa za Amazon.

Hizi ni hints kwa tulia weka bando LA kutosha kuna pesa za bure huko duniani Ila wazionao ni wachache na wazipatao ni wenye bidii.

Anzia hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom