Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Watu wengi wamekuwa na mtazamo mdogo juu ya Usalama (security) usalama katika computer nyumbani, na hata maofisini.
Tunapoongela secuity watu wengi wanadhani tishio(Threat) Kubwa katika usalama na uhai (seucity) wa computer ni virus
Woga au kipaumbele(priority) kikubwa kujikinga dhidi ya mashumbulizi ya virus linatokana na computer nyingi kuwa zineunganishwa kwenye mtandao iwe ni ya interneta au ya maofisini.
Lakini changamoto na swali muhimua la kujiiliza ni je tunajua adui au matishio makubwa zaidi na mengine ni hatari kwa usalama wa computer zaidi ya virus?
Kila mtu anaweza kufanya mchangamuo (Assesment) kugudua ni kitu gani hasa ni tishio kubwa wa usalama wa computer .
Katika kila tishio ( eg virus,Hard disk kufa, laptop kuibiwa etc ) utakalobanisha jiulize na jipe maibu ya maswali haya
Binafsi kwenye computer yangu najua tishio na virusi linaweza kutoka mara kwa mara lakini madhara ya virusi sio makubwa sana. Nasema hivi sabau ni virus wachache wanaopoteza data. Virus san asana wanavuruga ufanyaji kazi wa OS au program. Hili ni tatizo lakini as long as data zipo safe impact ya virus sio kubwa.
Upande mwingine kuna tishio la data kupotea ,kuibiwa au HDD kufa. Tishio hili ni nadra kutokea lakini likitokea hasara yake na madhara yake ni makubwa mno kuliko ya virus................................
Na kwa wale wanaotumia desktop kwa mazingira ya Tanzania Power fluctuations na katika katika ya umeme inaweza kuwa ni tishio kubwa kuliko virus.
Ushauri
Kuwa na copy mbili au tatu ya data zako muhimu( backup). Data loss is more expensive and big threat than computer virus.
Sasa ni mbinu na njia gani unatumia kuhakisha usalama wa data muhimu kwenye computer yako?
Kuna njia nyingi . Nitataja chache
IT risk - Wikipedia, the free encyclopedia
Risk Analysis Techniques - Problem-Solving Training from MindTools.com
Introduction to Security Risk Analysis & Security Risk Assessment
Nawasilisha kwa hoja kinzani, maswali na nyongeza

- Linaweza kutokea mara ngapi ( frequency of a threat to happen)
- Likitokea madhara yake ni nini
- Umejilidaje na tishio hilo.?
Binafsi kwenye computer yangu najua tishio na virusi linaweza kutoka mara kwa mara lakini madhara ya virusi sio makubwa sana. Nasema hivi sabau ni virus wachache wanaopoteza data. Virus san asana wanavuruga ufanyaji kazi wa OS au program. Hili ni tatizo lakini as long as data zipo safe impact ya virus sio kubwa.
Upande mwingine kuna tishio la data kupotea ,kuibiwa au HDD kufa. Tishio hili ni nadra kutokea lakini likitokea hasara yake na madhara yake ni makubwa mno kuliko ya virus................................
Na kwa wale wanaotumia desktop kwa mazingira ya Tanzania Power fluctuations na katika katika ya umeme inaweza kuwa ni tishio kubwa kuliko virus.
Ushauri
Kuwa na copy mbili au tatu ya data zako muhimu( backup). Data loss is more expensive and big threat than computer virus.
Sasa ni mbinu na njia gani unatumia kuhakisha usalama wa data muhimu kwenye computer yako?
Kuna njia nyingi . Nitataja chache
- Google wana googledocs https://docs.google.com. Hiini njia nzuri unaweza kweka backup ya vitu vyako muhimu online . Binafsi kwangu hii ni njia secured kuliko kuuifadhi mambo muhimu mwenyewekwenye computer .
- Tumia external HDD