profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,485
- 3,134
Ubabe utapungua siku waarabu wakiishiwa mafuta, ile support ya kugharimia vita ataikosa. Ingawa USA bado anamafuta mengi lakini Russia naye anayo mengi pia.wana jamvi,naomba waelewa wa mambo ya uchumi,mtufafanulie hili,,iwapo nchi zote duniani zitaachana na matumzi ya US dollar,Kama pesa ya kibiashara ya dunia,hivi bado uchumi wa marekani bado utakuwa imara kama sasa?
Mambo ya "the open door policy", alokutangulia kakutangulia tu kaka.Fuatilia historia ya Brettonwoods agreements utajua kwa nini Dunia ilifikia hapo penye kutumia USD. Mifumo mbali mbali ilikuwa imeanzishwa lakini haikufanikiwa isipokuwa huu wa sasa wa dola ya 'Muajemi'...
Vipi hawawezi kutumia "yuan" ya Uchina?The question to ask is: What next after the dollar. Is the world prepared to totally abandon the dollar? If so, what are the reasons.
I think there is no affirmative answers to those questions therefore the world with no alternative to dollar has literally no other option but to continue using the greenback.
Those countries which pretend to abolish the dollar are merely trying to do so as a means to overcoming their frustrations with the US and not out of economic rationale.
Kuondoa matumizi ya dola sio jambo rahisi kama vile kuondoa matumizi ya lugha ya kingereza duniani.itachukua mda sanaWanajamvi,naomba waelewa wa mambo ya uchumi mtufafanulie hili,,iwapo nchi zote duniani zitaachana na matumizi ya US dollar,Kama pesa ya kibiashara ya dunia,hivi bado uchumi wa Marekani utakuwa imara kama sasa?
Kwanza kabisa hiyo Yuan wanaipataje halafu hiyo biashara itakuwa baina ya China na hiyo nchi tu (Bilateral Trade) lkn wakitaka kwenda nje ya hapo lazima warudi kwenye dollar.Vipi hawawezi kutumia "yuan" ya Uchina?
Endelea kuota hivyo hivyo mkuu. Ila ukisikia umebanwa mkojo husikojoe. utakojolea godoroMarekani haijaanza vita halisi ya kiuchumi na China, na mimi binafsi ninaona inawauzia wachina mbuzi kwenye gunia wazidi kuvimba kichwa!
Marekani inaweza kabisa kuifuta China duniani pale itakapoanza kulenga soko la Africa na dunia ya tatu kwa ujumla wake bila kujali faida kubwa na hapo ndio utaona jinsi China itakavyogeuka chui wa karatasi na pengine hata kuanza vitisho vya Korea ya kaskazini!
NB: KWA JINSI WACHINA WANAVYOTUFANYA WAJINGA NA KUTUJAZIA MADAMPO YETU NA BIDHAA ZAO JAKUBUMBA NAOMBA MUNGU MAREKANI IANZE VITA YAKE HALISI YA KIUCHUMI KUTUONDOLEA HUU MWIBA WA MABEBERU MA'ROBOT' YASIYO NA MOYO WALA MASIKIO YA CHINA!
marekani akija Africa atakula loss raw materials zake na process nzma ni so expensive na huku lazma uuze vtu cheap tofaut na mchina yy ana cheap production ndo maana bidhaa zake sio expensive sana kaiteka AfricaMarekani haijaanza vita halisi ya kiuchumi na China, na mimi binafsi ninaona inawauzia wachina mbuzi kwenye gunia wazidi kuvimba kichwa!
Marekani inaweza kabisa kuifuta China duniani pale itakapoanza kulenga soko la Africa na dunia ya tatu kwa ujumla wake bila kujali faida kubwa na hapo ndio utaona jinsi China itakavyogeuka chui wa karatasi na pengine hata kuanza vitisho vya Korea ya kaskazini!
NB: KWA JINSI WACHINA WANAVYOTUFANYA WAJINGA NA KUTUJAZIA MADAMPO YETU NA BIDHAA ZAO JAKUBUMBA NAOMBA MUNGU MAREKANI IANZE VITA YAKE HALISI YA KIUCHUMI KUTUONDOLEA HUU MWIBA WA MABEBERU MA'ROBOT' YASIYO NA MOYO WALA MASIKIO YA CHINA!
Sio kweli, Marekani ana baadhi ya cheapest raw materials, mfano mafuta! Nchi gani ingine Duniani inaweza kutengeneza magari YANAYOBWIA mafuta, wakati ina uwezo wa kutengeneza gari zenye fuel economy,kama Marekani?marekani akija Africa atakula loss raw materials zake na process nzma ni so expensive na huku lazma uuze vtu cheap tofaut na mchina yy ana cheap production ndo maana bidhaa zake sio expensive sana kaiteka Africa
Umenena ujio wa Bwana Yesu Kristo ndo mwisho wa America. Asomae na afahamu unabii huo. America ya leo upande wa ARMY kibajeti wakiwapa China kuudumia jeshi lote la America mpk base zake duniani Kwa mwaka Moja tu China inatangaza kufilisika.Hakuna mwisho wa marekani, mpaka Yesu arudi
Hii hapa military spendingUmenena ujio wa Bwana Yesu Kristo ndo mwisho wa America. Asomae na afahamu unabii huo. America ya leo upande wa ARMY kibajeti wakiwapa China kuudumia jeshi lote la America mpk base zake duniani Kwa mwaka Moja tu China inatangaza kufilisika.
Je uliwahi kujiuliza ARMY SPENDING ya America kwa mwaka ni asilimia ngapi kwa majeshi yote duniani???? Tafuta data ujue.
Je, uliwahi kujiuliza America ina multi billionaire wangapi? Je, uliwahi kujiuliza America ina multi millionaire wangapi? Je uliwahi kujiuliza America ina most powerful ktk sector maelfu mangapi ktk dunia hii? Ukipata hizo zote ukichanganya na masuala ya technology, masuala ya anga za juu na anga za mbali jiulize pesa zote hizo wanapata wapi????
Ukishatafakari na kupata jibu geuza ubao huo kisha mkabidhi China kwa mwaka Moja tu aendeshe mambo yote hayo ya America, mpe China mwaka moja uone km ataweza.