ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Amani kwenu jf.
Nashawishika kuuliza hako ka swali ndugu zanguni,maana kananitatiza sana.Hivi mwanaume halisi wa kitanzania ana wajibu gani kwa familia yake? Yaani aweje ili kujenga familia bora kabisa,achana na hali yake kielimu,kiuchumi,kisiasa au kijamii.Nauliza ile common quality ya mwanaume tunatarajia awe vipi yaani ili ajitofautishe na watu wengine wa nyumbani mwake?
Naombeni mnisaidie.