Nini Matokeo ya Wabunge Kujiunga J.K.T???

Bubu Msemaovyo

Platinum Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,552
Hakika baada ya kufunga ule utaratibu wa kujiunga Jeshi, wale tuliopitia Jeshi tulilaumu sana. Na sasa wakati umefika kwamba nidhamu itarudi kwani Viongozi wote watarudi katika UTAIFA HALISI. Nikitafakari hawa jamaa wabunge vijana wakishapitia jeshi ni matumaini yangu kwamba watakuwa wazalendo zaidi na hao wazee wa miongozo yaani CCM watakuwa na uzalendo kwa nchi yao. Na ni mategemeo yetu watakuwa watetezi wa wananchi wanaoelewa nini maana ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siyo leo wananuka maziwa ya utoto.

Kule mtajifunza hesabu za kijeshi mwisho namba 3
 
mh ... wengi walio mafasidi na mafisadi walipitia jeshi hilo jkt , sijui mwamko huu mpya utakuwaje ...
 
Hakika baada ya kufunga ule utaratibu wa kujiunga Jeshi, wale tuliopitia Jeshi tulilaumu sana. Na sasa wakati umefika kwamba nidhamu itarudi kwani Viongozi wote watarudi katika UTAIFA HALISI. Nikitafakari hawa jamaa wabunge vijana wakishapitia jeshi ni matumaini yangu kwamba watakuwa wazalendo zaidi na hao wazee wa miongozo yaani CCM watakuwa na uzalendo kwa nchi yao. Na ni mategemeo yetu watakuwa watetezi wa wananchi wanaoelewa nini maana ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siyo leo wananuka maziwa ya utoto.

Kule mtajifunza hesabu za kijeshi mwisho namba 3

Mbona bosi wa mafisadi ni mwanajeshi pamoja na mafisadi wenyewe wamepitia jeshi? Hujawahi sikia Meremeta, na SUMA JKT kwa ufisadi? Ndugu yangu UZALENDO na UTAIFA hauletwi na jeshi bali chamsingi system yote ingoke tuanze upya.
 
Mafisadi wote maarufu na wanaoinukia hapa tz walipita JKT. Sitegemei jipya zaidi ya hako kamradi ka wakubwa kufa siku za karibuni. Sitaruhusu ndugu yangu wa karibu aende JKT itakuwa kiwanda cha kuzalisha maambukizi mapya ya ukimwi.
 
Mbona bosi wa mafisadi ni mwanajeshi pamoja na mafisadi wenyewe wamepitia jeshi? Hujawahi sikia Meremeta, na SUMA JKT kwa ufisadi? Ndugu yangu UZALENDO na UTAIFA hauletwi na jeshi bali chamsingi system yote ingoke tuanze upya.
Hata kama uzalendo hautapatikana at least watajifunza kuishi na magumu bila kupiga kelele ovyo; dunia haijaumbwa kwa mabonge ya sukari
 
Nadhani hii ni kupoteza muda na raslimali za taifa. Ni bora tuandae vjana wabichi kwani samaki mkunje akiwa mbichi. We leo hii umpeleke Ridhwani, Nape au Mwigulu nchemba utambadilisha kwa lipi? Wao wanarithi mikoba. So dawa ni kukata shina na kupanda upya.
 
Kuhusu nini kitatokea,hebu waulize wanafunzi wa UDOM

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nadhani hii ni kupoteza muda na raslimali za taifa. Ni bora tuandae vjana wabichi kwani samaki mkunje akiwa mbichi. We leo hii umpeleke Ridhwani, Nape au Mwigulu nchemba utambadilisha kwa lipi? Wao wanarithi mikoba. So dawa ni kukata shina na kupanda upya.
Hilo nalo neno
 
Hakika baada ya kufunga ule utaratibu wa kujiunga Jeshi, wale tuliopitia Jeshi tulilaumu sana. Na sasa wakati umefika kwamba nidhamu itarudi kwani Viongozi wote watarudi katika UTAIFA HALISI. Nikitafakari hawa jamaa wabunge vijana wakishapitia jeshi ni matumaini yangu kwamba watakuwa wazalendo zaidi na hao wazee wa miongozo yaani CCM watakuwa na uzalendo kwa nchi yao. Na ni mategemeo yetu watakuwa watetezi wa wananchi wanaoelewa nini maana ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siyo leo wananuka maziwa ya utoto.

Kule mtajifunza hesabu za kijeshi mwisho namba 3

...Ingekuwa bora wapelekwe kwenye jeshi la kulinda amani la UN japo kwa mwezi mmoja..
Unakumbuka vita vya kagera .. hakubaki mtu hadi mgambo..
 
Back
Top Bottom