tryphone005
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 453
- 507
acheni upotoshaji hakuna mtandao tz unaoweza kufikia kasi ya Halotel wapo vizur sana na mob zinachelewa kukata tofauti na voda ukinunua tigo ndio kabisa mb hautumii jinsi ilivyo slowWadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
Naunga mkono hoja. Voda ni wezi wa mchana.Nimenunua gb 1 za voda nifuatilie ripoti ya pili ya makinika zimeisha kabla hata JPM hajaanza kuongea.
Wakati halotel gb 1 huwa zinakaa hadi nasahau kabisa.
Huduma zao zimekuwa na kibabaishaji sana, jiunge uone upuuzi wao.
Subiri wanao lalamika siyo vichaa.Mimi Nina mwaka wa 2 sijawahi kuona huo upuuzi.
Gb za voda zinawahi kuisha. Za halotel zinakaa muda mrefu. Tatizo maeneo mengi siku hizi kupata internet yao ni shida sana. Wapuuzi sana hawa halotel.Nimenunua gb 1 za voda nifuatilie ripoti ya pili ya makinika zimeisha kabla hata JPM hajaanza kuongea.
Wakati halotel gb 1 huwa zinakaa hadi nasahau kabisa.
Hiyo shida sija wahi iona kwakweliHuduma zao zimekuwa na kibabaishaji sana, jiunge uone upuuzi wao.
Kwangu ndio mtandao bora ulinganisha na hiyo mingneHuduma zao zimekuwa na kibabaishaji sana, jiunge uone upuuzi wao.
Subiri wanao lalamika siyo vichaa.
yote ni maoni ambayo yamehitajika na mleta madawanao lalamika siyo vichaa.