GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,861
Mkuu huyo huenda akawa kiongozi mkuu wa kikosi maalum cha "Janjaweed" kinachotumika kuteka, kutesa, kuumiza, na hata kuuwa raia kwa ajili ya kuilnda CCM isipoteze dola huko Zanzibar. Duh! Kumbe bado ni usiku mzito, ninaota tu!Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
Wote hao ni jeshi la akiba la JWTZ, na CDF Mkunda ndiye mkuu wao. Kukitokea vita, wote wataingia ulingoni kuitetea Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.
Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU
(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM
(C). Chuo cha Mafunzo
Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.
Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?
Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?
Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
Na kuwakamata wamasai mitaani wenye rungu na sime zao za asili huku machangu na Wanaume wa kike wakiachwa wanajivinjariJukumu la kwanza ni kusaidia ccm kushinda uchaguzi kwa udi na uvumba
KZUKatiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.
Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU
(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM
(C). Chuo cha Mafunzo
Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.
Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?
Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?
Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
Hivi vyote ni vikosi vya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vipo chini ya wizara ya vikosi. Mahusiano ni makubwa kwani yanaingiliana majukumu sana. Ikulu utakuta kuna askari wa Kvz hapohapo kuna jku na usalama wa taifa.Hivi haya majeshi yaliopo Zanzibar yana mahusiano yapi
KVZ
KMKM
JKU
Recruit wao wanatoa wapi na je kuna wabara wanaojoin hvyo vyombo
Combat zao ie JKU mbona zinafanana na PSU tena wa bara?
Wote hao ni jeshi la akiba la JWTZ, na CDF Mkunda ndiye mkuu wao. Kukitokea vita, wote wataingia ulingoni kuitetea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa cheo ni Brigedia Jenerali lakini vile vile ni Mkuu wa Brigedi ya Nyuki..Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
Nmeongelea magogoni na baadhi ya sehem za TISS kama ni KVZ na JKU kwanini walinde bara na sio JKT na JWTZHivi vyote ni vikosi vya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vipo chini ya wizara ya vikosi. Mahusiano ni makubwa kwani yanaingiliana majukumu sana. Ikulu utakuta kuna askari wa Kvz hapohapo kuna jku na usalama wa taifa.
Hawa jamaa suala la uajiri ni very secretive, hawatangazagi nafas hadharani na wanachukuaga watu kimya kimya. Miezi wanayochukua watu ni 2, 3 U 4 kutegemea na mpango wa mwaka husika.
Nmeongelea magogoni na baadhi ya sehem za TISS kama ni KVZ na JKU kwanini walinde bara na sio JKT na JWTZ
Nmeongelea magogoni na baadhi ya sehem za TISS kama ni KVZ na JKU kwanini walinde bara na sio JKT na JWTZ