The Embassy of the United Republic of Tanzania in the USA has the responsibility of promoting relations of friendship and co-operation between the governments and the peoples of the United Republic of Tanzania and the United States of America
Wee Joseph Mushi umeshindwa kujibu mapigo kwenye hoja yako ya Mengi kuwa Rais, sasa umemua kuanzisha thread mpya siyo! Bahati yako wenye tovuti wameamua kuifunga ile mada. But beware; next time your Joseph Mushi Mangi-ass wont be so lucky. Damn Mangi boy!
Duh!
Inaonekana mmepania!
Kwa taarifa yako niko chini ya ulinzi imara hivi sasa!
Na hamnitishi!
Kinachotakiwa ni mumkamate Balali PERIOD!
Wee Joseph Mushi umeshindwa kujibu mapigo kwenye hoja yako ya Mengi kuwa Rais, sasa umeamua kuanzisha thread mpya kama kawaida yako siyo! Bahati yako wenye tovuti wameamua kuifunga ile mada (your Mangi ass got saved by the bell that is). But beware; next time your Joseph Mushi ass wont be so lucky. Damn Mangi boy!
Duh!
Inaonekana mmepania!
Kwa taarifa yako niko chini ya ulinzi imara hivi sasa!
Na hamnitishi!
Kinachotakiwa ni mumkamate Balali PERIOD!
Bahati yako Joseph Mushi, kwani ulikuwa "fair prey" for vicious ruthless animals like yours truly.So next time you better think twice before starting another one of your Mangi-themed threads, understand? Damn Mangi boy!
Nyama Hatari,
Sikuwepo kwenye thread ya Mengi, na labda sistahili kusema lolote. Lakini kama utanivumilia, kiufupi jamaa, Joseph Mushi, alikosea nini ku suggest Mengi au Mjomba wake, au yeye mwenyewe kuwa Rais?
Ahsante.
Kuhani Mkuu, Joseph Mushi hakukosea hata kidogo ku-suggest kuwa Mengi (au Mjomba wake au sijui babake mdogo) awe Rais wa Jamhuri ya Tanzania. Alichoshindwa kufanya ni kutetea vilivyo na kuelezea kiufasaha na kwa namna ya kuridhisha ni vipi Mengi angemudu wadhifa wa Urais wa Jamhuri na ule wa Mfanya biashara (au Bepari wa jina kubwa) kutokana na mgogangano wa wazi ambao ungekuwapo kati ya shughuli na majukumu ya nyadhifa hizi mbili.
Hii mada ilikuwa dead on arrival dude! Eti "Nini majukumu ya balozi zetu?" Nani achangie "geeky topic" kama hii? Joseph Mushi bora uanze kuandika na kujijibu mwenyewe kama unavyopendaga kufanya. Damn!