Nini madhara ya kutosomwa bajeti mbadala bungeni?

..hata hotuba za waziri mkuu na mawaziri hazina faida yoyote.

..sisi tukusanye kodi tu, matumizi atapanga Jiwe kulingana na anavyojisikia na kutegemea vipaumbele vyake.
 
Sina hakika km hazina umuhimu km unavyodhani, pengine kuna haja baadhi ya wtz kupimwa akili na mkojo tuweze baini mwenendo wao
 
Fisadi yupi aliyefungwa?
au hao mnaohangaika nao kila Siku mwaka sasa umepita upelelezi haujakamilika?
 
Kwa wale mnajua sheria na masuala ya kiuchumi naomba mnielimishe madhara kwa serikali kutokana na kambi ya upinzani kutosoma bajeti zao mbadala.

Aisee hata kukuelemisha tunaanzia wapi kama kiwango chako cha elimu ndo hicho???? Suprises always kill me.!!!
 
Naamini hakuna hats mmoja aliechangia hoja au swali lililoletwa na mtoa mada. Waliotakiwa kujibu ni wataalam was sheria,uchumi na siasa za bunge LA madola.
 
Hakuna athari yoyote
Huo ni utamaduni kwenye mabunge ya jumuiya ya madola hauna nguvu kikatiba,nia ni kujaribu kuingiA mawazo mbadala ambayo yanaweza kuingizwa kwenye bajeti husika,baada ya mjadala
Kwa kususa kwa mbowe,maana yake wameruhusu bajeti ipite kwa 100% hata wasipopiga kura
 
Hivi Sizonje unaweza kumuweka na Mbowe katika level ya kujadili kitu wakalingana? Labda mjadili maganda ya korosho ndio Sizonje anaweza kuonekana mjuzi
Mbowe anaweza kujadili jambo gani na div 0 yake ya form six?,usitake kuchekesha watu hapa
 
Upinzani hauko serious na mambo muhimu ya wananchi ...walishasusa sana na mara nyingi huko bungeni.
Wewe anazungumzia kutokusomwa kwa Bajeti ya Upinzani Bungeni kuna madhara gani..... Wewe unakuja na ngonjera zako
 
Back
Top Bottom