Nini maana yake?

Nini maana yake?

sasa unaogopa nini kwani umempa mzigo?! lakin hilo la kuwahi kuwa na bro wake ukamkataa now uko na young wake mmmmh?!
 
nadhani kama kuna kitu unaficha that why unakosa amani...!! any way ukweli unao mwenyewe!! me sion cha kukuogopesha hapo
 
nadhani kama kuna kitu unaficha that why unakosa amani...!! any way ukweli unao mwenyewe!! me sion cha kukuogopesha hapo

Hakuna nnachokificha mkuu ila ni maswal nayojiuliza juu ya huyo mzee ambaye ni rafik wa baba kuna urahis gn ukaongea nae habar ya mwanamke mpk ukafikia kumpigia cm.
 
Kwani una miaka mingapi ya umri mdogo wangu? Usiende kumuuliza babako huyo mzee ni nani, isije ikawa wana historia mbaya. Muulize ndugu mwingine wa babako kama anamjua na umuambie wanafahamiana na kijana unaefanya nae kazi.

Umeshakuwa mkubwa sasa, sidhani kama utahukumiwa kwa kuongea na vijana wenzio. Baba hategemei utaamka asubuhi ukutane na mchumba na kuoana nae siku hiyo. Jistahi na usiwe na pupa. Take all the time you need, no rush.
Ha ha ha eti king'amuz ....hofu yngu ni huyo mzee km atakutana na ding atamwambiaje?
 
Ni rahisi mbona? Amekutana na huyo mzee, akamuambia kwenye stori kuwa ametokea kijiji fulani. Rafiki yako akamuambia ninamjua dada wa kijiji hicho, ngoja nimuulize jina lake la ukoo. Na ikatokea anamjua babako. Hakuna cha kuhofia hapo, relax!
Hakuna nnachokificha mkuu ila ni maswal nayojiuliza juu ya huyo mzee ambaye ni rafik wa baba kuna urahis gn ukaongea nae habar ya mwanamke mpk ukafikia kumpigia cm.
 
Hakuna nnachokificha mkuu ila ni maswal nayojiuliza juu ya huyo mzee ambaye ni rafik wa baba kuna urahis gn ukaongea nae habar ya mwanamke mpk ukafikia kumpigia cm.

mmmmmh.....and they call you-miss strong..!
 
sasa unaogopa nini kwani umempa mzigo?! lakin hilo la kuwahi kuwa na bro wake ukamkataa now uko na young wake mmmmh?!
miss strong huyo.....Yaani anaogopa hata kivuli chake.
 
miss strong kiukweli you are miss weak! ina maana wewe ni under 18yrs na ni denti hata unaogopa huyo mzee asipige story na dad wako huko kwenu? otherwise kuna mambo ambayo hujatuweka wazi...umeyaficha! maybe huko kwenu una mchumba na ndo maana unaogopa kisinuke!
 
Back
Top Bottom