zinazoishiaga bar sio ufujaji?ni ufujaji wa rasilimali tu hakuna kingine hapo :car:
Hata mi nashangaa sana, alafu unakuta ni jimama la miaka hadi 45 lina watoto wa kidato?!Eti mwanamama ameshaishi na mmewe kwa miaka kadhaa bila kufunga ndoa na wana watoto. Cha ajabu siku watakapoamua kufunga ndoa, ule utaratibu wao wa kitchen party unajitokeza tena. Kama maana ya kitchen party ni mafunzo kabla ya namna ya kuishi na mume, kwa wakati huu yanakuwa na maana gani tena? Kama zawadi si wakampelekee ukumbini?