Nini Maana ya Wife Material?

Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;

Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa


Mkuu, vigezo kama tangazo la kazi. Good luck mjomba.
 
According to Dave Chappelle, wanaume wengi tunataka mwanamke, 'who can keep shut up, give a blow job and make a sandwich'. Mambo mengine ni nyongeza tu
 
Wife materials ni yule aliyeshika wadhifa wa mama ako wife ni yule ambae nikulala nae tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…