Nini maana ya usemi huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana ya usemi huu?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Wamnetu, May 7, 2012.

 1. W

  Wamnetu Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marehemu Issa Matona katika wimbo wake mmoja alinena kama hivi: "Sighilibiwi na rangi, tamu ya chai sukari." Je, alikuwa na maana gani?
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ana maana kuwa,hadanganyiki na uzuri wa rangi,kwani hata kama chai ina rangi nzuri,pasi na kuwekwa sukari haitoitwa chai,sawa na sharbt bila sukari.
   
Loading...